Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Slaa apasua jipu kuwa hamtambui JK b'se ni result ya uchakachuaji; Mbowe akakazia kuwa ni msimamo wa CHADEMA

Source: STAR TV news 20hrs

Na Nation wameandika hivi:

By FLORENCE MUGARULA, Daily Nation
Monday, November 15 2010

In Summary: Chadema says it will not recognise the president elected at what it says were fraudulent elections

Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo on Monday announced that it would not to recognise President Jakaya Kikwete as a President because of several weaknesses that were recorded during the past general election.

The former Chadema Presidential candidate, Dr Wilbrod Slaa told the Press that President Kikwete was the product of fabricated election results, which Chadema does not recognise.

Dr Slaa added that the Presidential results were not allowed to be questioned anywhere after being released by the National Electoral Commission and that his party has no grounds to say anything in the line of the law.

"I said this before NEC announced the results and we wrote to them trying to explain our complaints but they did not even respond, therefore the only way was to reject the results and not to recognise the President," said Dr Slaa.

According to Dr Slaa, Chadema has decided not to recognise President Kikwete because the results were fabricated and thus there was no reason to accept him as a President.

The former Karatu MP added that it was difficult to accept election results which were recorded without adhering to the principles of democracy.

Another reason behind rejecting the results and not recognising President Kikwete is that the general election was not free and fair.

"The whole election process was not conducted under conducive environments, we have been warning NEC on this matter but no important measures have been taken on the matter," said Dr Slaa.

According to Dr Slaa, the matter has been officially handed over to the party (Chadema) so that important measures can be taken for future betterment of wananchi.

"I am using this opportunity to tell all Tanzanians that I was not satisfied by the results and therefore I do not recognize Mr Jakaya Kikwete as a President, I want Tanzanians to understand this," said Dr Slaa.

But, when reached for the comments, the Attorney General, Judge Fredrick Werema said the new election Act demands that all complaints be filed in court.

"I think the law is open on all complaints about election issues, everything is supposed to be filed in court," said the AG.

On the Chadema's stand over President Kikwete's win, Judge Werema said Chadema's decision was ‘nonsense'. (Ni mawazo na msimamo wa kijinga na kipumbavu kutomkubali Rais)

Commenting to the matter, the Chadema national chairman, Mr Freeman Mbowe said the party will pressurise for the independence committee to probe the violation of elections principles all over the country.

Source: Daily Nation
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Kumbe ni tamko lililotolewa kwenye hafla ya kujipongeza kwa uchaguzi ulopita hasa kuongeza idadi ya wabunge
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,360
2,000
mimi naunga mkono CHADEMA lakini

Je ni hatua gani zinachukuliwa kufichua kilichofanyika?
Je, kuna precaution zozote zinafanyika ili wakuu wa Dr Slaa wasillishwe kasa na kumpatia Dr. SLAA KASA?
Je, What is the way forward?????
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,230
2,000
Safi saaana. Kwani kumtambua mwizi ni kukubaliana na wizi.
 
kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
1,500
tamko lao limekuwa baridi na jepesi sana!! mbona CHADEMA mnashindwa kutoa taarifa kamili.. kwa hili mmeniboa! tena sana
 
October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
1,195
wamesema ingawa sheria haiwaruhusu kupinga matokeo mahakanani, lakini hivi karibuni watatoa taarifa kamili wakionyesha idadi halali ya kura za raisi katika majimbo (yote) katika kujiandaa kwa uchaguzi wa 2015

Hata hivyo wamewashukuru watanzania kwa kuwa na imani na chadema kwa kuipigia kura kwa wingi katika uchaguzi huu.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,478
2,000
Wakaongezea ata kama mmoja wao atateuliwa kuwa waziri hawako tayari kuchangamana na serikali ya uchakachuaji according to Mbowe
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,195
mimi naunga mkono CHADEMA lakini

Je ni hatua gani zinachukuliwa kufichua kilichofanyika?
Je, kuna precaution zozote zinafanyika ili wakuu wa Dr Slaa wasillishwe kasa na kumpatia Dr. SLAA KASA?
Je, What is the way forward?????

Je ni hatua gani zinachukuliwa kufichua kilichofanyika?

Kamati zinakutana kutoa mchanganuo rasmi wa kilichotokea

Je, kuna precaution zozote zinafanyika ili wakuu wa Dr Slaa wasillishwe kasa na kumpatia Dr. SLAA KASA?

Ni issue ya kichama zaidi wakifanya hivyo watakuwa wametusaliti nguvu ya umma itawashukia. NINACHOJUA HAKUNA MWENYE NJAA

Je, What is the way forward?

The way foraward

1. JK hatambuliwi na CHADEMA wala na Dr. Slaa kama mgombea ingawaje watashiriki kwenye shughuli za serikali. Sababu ni NEC kupuuza kusitisha kutangaza matokeo baada ya kuelezwa kasoro
2. Kupewa nafasi ndani ya serikali haliwezekani
3. Mchakato wa Katiba ambayo ndiyo kiini cha mataizo umeanza
4, Wana Chadema wanachama na wapenzi kupitia wawakilishi wao kila ngazi waonyesha utendaji kwa maslahi ya taifa ili wananchi waone tofauti

Haya maneno nimeyasikia Star TV yakitolewa na mwenyekiti Mbowe. Mimi yamenipa matumaini makubwa kwa sababu nilitaka waseme hivyo
 
The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
0
Hivi nani Rais wa Tanzania kwa sasa? Anayetambuliwa na sheria mfu hapendwi na watu na kipenzi chetu Dr Slaa ndiyo hivyo tena sheria zimechakachua!
 
Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
833
225
Jaza tu vitamu mdomoni mwako kama jina lako lilivyo huku ukiomba akina Slaa waishe kisiasa ili undelee kujaza domo lako kwa vitamu eti Kanyafu Nkanwa

hahahahaaha! Kubalini ukweli, hata kama unauma. Si tupo, na bado tupo tupo sana tu. Tuna-watch games....
 
Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,429
0
Viongozi wa Chadema siku za hivi karibuni wamekuwa watu wasio eleweka kutokana na kutokuweka huo wanaosema uchakachuwaji wa kura adharani, kila siku wanasema wanakusanya data tu hatimaye tutafika 2011 pasipo kupatikana hizo data kamili...

Naona hizi ni dalili za kutufanya tusahau mambo ya uchanguzi na kubaki tukiamini kuwa uchanguzi ulitawaliwa na wizi ..

Nawataka viongozi wachadema kutoa hilo tamko lao mapema iwezekanavyo ili tutambue huo uchakachuwaji wanaousema, wakishindwa kufanya hivyo hakuna sababu ya kutokumtambua JK.
 
Rugemeleza

Verified Member
Oct 26, 2009
668
195
wamesema ingawa sheria haiwaruhusu kupinga matokeo mahakanani, lakini hivi karibuni watatoa taarifa kamili wakionyesha idadi halali ya kura za raisi katika majimbo (yote) katika kujiandaa kwa uchaguzi wa 2015

Hata hivyo wamewashukuru watanzania kwa kuwa na imani na chadema kwa kuipigia kura kwa wingi katika uchaguzi huu.

Sikubaliani na uamuzi wa kutokwenda mahakamani. Katika mabandiko yangu ya nyuma nilieleza suala hili kwa urefu sana na kuonyesha kuwa Mahakama ya Rufaa ilikwisha tamka kuwa kitendo chochote kile cha Tume ambacho kimefanywa kinyume cha sheria kinapingwa. Nilijitahidi kuwasilisha maoni yangu kwa mwanasheria wao lakini inaelekea wamekataa. Inasikitisha.

Bado ninasisitiza kuwa Mahakama Kuu inabanwa na uamuzi ule wa Mahakama ya Rufaa na hapo ndio ungekuwa uwanja mzuri wa Chadema kuanika ushahidi hadharani. Lakini Wanasheria hutofautiana mbinu za kupambana.
 
Nyie wengine mnatokea nchi gani humu duniani!? Waende mahakamani kwa lipi? Wewe unadhani peke yako ndiyo una uchungu, wenyewe hawana? Hakuna cha kuwakilisha mahakamani, maelezo yako uliyotoa yalikuwa ni null and void.
 
Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,325
2,000
mimi naunga mkono CHADEMA lakini

Je ni hatua gani zinachukuliwa kufichua kilichofanyika?
Je, kuna precaution zozote zinafanyika ili wakuu wa Dr Slaa wasillishwe kasa na kumpatia Dr. SLAA KASA?
Je, What is the way forward?????

hiyo kasa ni nini jombaa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom