Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kuwa chama cha CHADEMA ndicho kilichopata viti vingi vya ubunge na udiwani ktk mkoa wa kilimanjaro, na kwa mujibu washeria za nchi yetu CHADEMA ndio watakaounda serikali ya mkoa huu kwa hiyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kutoka kwa katibu wa mkoa wa KINONDONI, KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM, HENRY J KILEWO Kwa niaba ya chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, tunapenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Daeniel Nswanzugwanko 2. Dr Masumbuko Lamwai 3. Dr Waleed Kaburu 4. Abbasi Zuberi Mtemvu 5. Fatma Maghimbi 6. Tambwe Hizza 7. Tyson 9. Shaibu Akwilombe 10. Thiomas Ngawaiya 11. 12 13
0 Reactions
9 Replies
2K Views
suala la wabunge wa chadema kususia hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania tarehe 18 novemba 2010 limezusha hisia na maoni tofauti kutoka kwa wadau mbali mbali. Wapo wanaoona kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama CCM inajiamini ilishinda uchaguzi wa Raisi kwa nini uchaguzi mkuu usirudiwe ili kuondoa uhasama na wa tu tukarudi kuendelea na shughuli za kujenga taifa??? Hamna wazee wenye busara nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kusikiliza mahojiano ya Dr Slaa juu ya sababu za Chadema kutoka bungeni, naona moja ya madai yao ni Katiba mpya. Sawa...ni kweli tunahitaji katiba mpya, lakini mimi najiuliza ivi cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wandugu, Nimekuwa nikitafakari vimbwanga vilivyotokea hapa nchini vilivyoweka rekodi ya aina yake tangu nchi yetu ipate uhuru. Najua vipo vingi, lakini nitachokoza kwa kuanza na hivi vitatu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
“The ignorance of one voter in a democracy impairs the security of all.”
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116539 E-mail: press@ikulu.go.tz Website: www.mawasilianoikulu.go.tz Fax...
0 Reactions
152 Replies
21K Views
Kuna utata kidogo kwenye website ya NEC, ukifungua ile link ya 2010 Presidential Results haikupeleki kokote,inarudi kwenye home page sasa hapo sijui wanaogopa nini tena?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema: We recognise the president By Dominic Nkolimwa 22nd November 2010 Says walkout misinterpreted CHADEMA national chairman and official leader of Opposition in the...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Rai ya Jenerali Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jiandikishe utaarifiwe Barua ndefu ya wazi kwa Jakaya Jenerali Ulimwengu Novemba 17, 2010 Mpendwa Jakaya, NAFAHAMU vyema kwamba unaijua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hebu tafakari kwa nini Kikwete hakuwa na furaha jana na kwa nini sherehe hazikuwa na shamrashamra. Jadili
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakati viongozi wengi wamekuwa wakikumbukwa na watanzania hata baada ya kumaliza muda wao watu hutamani sana waongezewe muda wa uongozi mfano baba wa Taifa mwl.Juliua Nyerere. Lakini kwa huyu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Enyi wakurupuakaji na mnaosema kwamba CHADEMA inasema kura zimekwiba angalia kama mwenyekiti wa chama amesema lolote kuhusu hilo? Acheni kupaza sauti wakati hamjui wenzenu wanalozungumzia. Mbowe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo makubwa yanayotuathiri Watanzania: Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 10 November 2010 MATOKEO ya uchaguzi mkuu yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), yamejaa utata, MwanaHALISI limegundua. Taarifa...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Chadema jitahidini kuondoa tofauti ndani ya chama hizo ni nyufa au tundu dogo katika neti ambalo mbu akipita anaweza sababisha mtu kufa na malaria, zibeni matundu ondoeni nyufa kuepuka hawa jamaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWENYEKITI mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET) na mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Siasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesifu kampeni za aliyekuwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…