Elections 2010 NEC yaondoa matokeo ya Uchaguzi kwenye tovuti - inaogopa nini?

Igabiro

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
242
27
Kuna utata kidogo kwenye website ya NEC, ukifungua ile link ya 2010 Presidential Results haikupeleki kokote,inarudi kwenye home page sasa hapo sijui wanaogopa nini tena?
 
Back
Top Bottom