Waliohamia CCM kutoka upinzani....

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
1. Daeniel Nswanzugwanko
2. Dr Masumbuko Lamwai
3. Dr Waleed Kaburu
4. Abbasi Zuberi Mtemvu
5. Fatma Maghimbi
6. Tambwe Hizza
7. Tyson
9. Shaibu Akwilombe
10. Thiomas Ngawaiya
11.
12
13
 
Je waliotoka CCM kwenda upinzani ni wangapi? maana kabla ya vyama vingi karibu wote tulikuwa CCM
 
John Cheyo
Mbatia
Seif Shariff Hamad
Lipumba

list ni ndefu kweli kweli
 
Acheni utani kama kuna mtu anawajua waliorudi CCM atuongezee list.............
 
Je waliotoka CCM kwenda upinzani ni wangapi? maana kabla ya vyama vingi karibu wote tulikuwa CCM

Wanaohamia huko ni kama wanaobadilisha hali ya hewa tu mkubwa siku ya siku hurudi nyumbani si unajua nyumbani ni nyumbani? na wanasiasa hata leo hii wewe ukiwa mwanasiasa utaangalia upande wa mkate ulio na siagi! ila kwa kuwa u r not inn utajitutumua kukataa huo ukweli.....
 
1. Daeniel Nswanzugwanko
2. Dr Masumbuko Lamwai
3. Dr Waleed Kaburu
4. Abbasi Zuberi Mtemvu
5. Fatma Maghimbi
6. Tambwe Hizza
7. Tyson
9. Shaibu Akwilombe
10. Thiomas Ngawaiya
11.
12
13

Dr. Wibroad Slaa
Dr. Azaveli Rwaitama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom