Kama CCM inajiamini ilishinda uchaguzi wa Raisi kwa nini uchaguzi mkuu usirudiwe ili kuondoa uhasama na wa tu tukarudi kuendelea na shughuli za kujenga taifa??? Hamna wazee wenye busara nchi hii kutoa ushauri jamani??? Nashangaa Kikwete anahangaika kuunda baraza la mawaziri wakati ana mgogoro wa wapinzani kuhusu uraisi aliojipatia na kujiapisha kesho yake......