Matatizo yanayoathiri watanzania Kisiasa


Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Mambo makubwa yanayotuathiri Watanzania:


Kwanza ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo.


Pili UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache.Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa.


[FONT=&quot]Dr slaa facebook
[/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,237,587
Members 475,561
Posts 29,294,091