Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 313
Baada ya kusikiliza mahojiano ya Dr Slaa juu ya sababu za Chadema kutoka bungeni, naona moja ya madai yao ni Katiba mpya. Sawa...ni kweli tunahitaji katiba mpya, lakini mimi najiuliza ivi cha muhimu zaidi kwa sasa sio kupata NEC mpya zaidi ya Katiba. Hiyo Katiba mpya inamgusa vipi mwananchi kwa sasa. Nadhani mwiba kwa wananchi kwa sasa ni NEC na uwezo wake wa kuhujumu matokeo. Na hili ndilo lingetakiwa kupewa priority.
Wadau mnaonaje?
Wadau mnaonaje?