Wadau msaaada kwenye tuta, kama kuna mwenye kujua walau hata kuwa na fununu kuhusu walichokubaliana Maalim Seif na Rais Karume kwenye ule muafakaa, autambie tujue, japo kidogo!!!
Maana hawa watu...
wanajamii, msoma mjini ni jimbo langu la kuwa mbunge tokea nimezaliwa, na nimezaliwa katika familia ya kisiasa ambayo baba yangu mzazi ALIUWAWA kwa mbinu na ishu za kisiasa
NINAYO DHAMIRA YA...
Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali...
Kuna tetesi (zisizo rasmi) kuwa kuna uwezekano wa mh huyu kutorejea tena jimboni mwake 2015, sababu zilizopo ni ndizo zilizopelekea hata kutokuwemo kwenye cabinet iliyoapishwa hivi punde hapa...
Kuhusu rushwa, waziri huyo aliahidi kupanda lori lililozidisha uzito na kutoa rushwa na akasema akikamilisha kazi hiyo watakaohusika watamtambua. Aliwataka watendaji wa mizani kusimamia sheria...
51
.-(1) Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais kwa kufuata masharti ya ibara hii na ambaye kabla ya kushika madaraka yake ataapa mbele ya Rais kwa kiapo...
Chadema waitunishia Polisi misuli Send to a friend Monday, 29 November 2010 09:01 0diggsdigg
Mkurugenzi wa Sheria Katiba na Haki za Binadamu wa chadema Tundu Lisu akizungumza na waandishi wa...
Kiukweli inauma sana kwa kitendo ambacho tume wanakifanya sasa hii,, halafu hawana hata aibu hawa wanasheria kwa mfano lewis Makame, anafikiri watanzania ni mambumbumbu kiasi cha akufikia...
Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za...
Ndugu wana Jamii wenzangu,
Ni muda mrefu toka nimeandika maada katika jukwaa hili la siasa na hii imetokana na kutigwa na shughuli za hapa na pale ila kila mara nimekuwa nikipita humu na kusoma...
Wana JF kuna hii habari tumekuwa tukiisikia tokea kile kitendo cha kishujaa kifanywe na wale wapiganaji wetu wa CHADEMA pale bungeni. Lakini nyuma yake kuna wale amabo hawakuingia kabisa Bungeni...
Ndugu zangu, naomba mnijuze mambo waliyo yafanya kule pemba hawa jamaa wa cuf ili nasi tujifunze kuchagua upinzani. huku bara tumeshuhudia Karatu na kigoma ndio maana Chadema wakaweza kuendeleza...
Wadau habari za leo .Kama tujuavyo tayari CUF ni CCM na sasa wanatekeleza sera za CCM. Wameachana na sera zao huko Nzanzibar na hatimaye bara maana CUF ni moja Tanganyika na Zanzibar.
CCM kwa...
Mh. Ole Medee wengi wa wapiga kura wako hawatakuelewa kama hutamuuliza waziri katika kipindi cha maswali ya hapo kwa hapo swali lifuatalo.
Mh. Waziri Mkuu, mwaka huu Halmashauri ya Arusha...
Nilikuwa nimekaa na kushangaa kuona picha za mawaziri wakiwa wamepewa maua na kuvishwa mashada na kupewa pongezi za kuupata uwaziri/unaibu. Mara swali likanijia hivi wanapongezwa kwa ajili gani...
Chadema kikifanya makosa ya kujiunga na cuf nitakuwa kimeua kambi ya upinzani bungeni. Mwenendo wa madai ya cuf na kauli za Hamadi pamoja na hali halisi ya muafaka baina ya ccm na cuf unanipa...
Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata Job Ndugai na pengine kuliko hata Anne Makinda...
Sources: Magazeti ya Mwananchi ya Jumapili 28, Novemba, 2010 na Tanzania Daima ya Jumapili, 28, Novemba 2010:
(1) Mwananchi: Wabunge 20 wa sisiemu ni batili, wakiwemo Waziri Mkuu, Spika na Naibu...
FACT;
Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje
Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade