Maskini Chadema!

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya
 
heshima na mchakato mbaya wa uchaguzi uliompa rais ushindi ni vitu viwili tofauti....
 
Zhu,

..Chadema lazima wa-act within the rules.

..Katiba mbovu iliyoandikwa na wakereketwa wa CCM ndiyo inayosababisha mkanyanyiko wote huu.

..pia umma wa wa-Tanzania sidhani kama uko tayari to do what is necessary kupinga matokeo ya Uraisi.

..mara nyingi tunawauliza Chadema watafanya nini kuleta mabadiliko ya Katiba, bila kujiuliza sisi wananchi tutawasaidia vipi ktk kuleta mabadiliko ya katiba tunayoyataka.
 
katiba inawalazimisha kumtambua raisi wapende wasipende au watake wasitake
 
Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya

mbona posts zako nyingi zinaashiria kama umetoroka hospitali ya mirembe?
 
Gurudumu na mashaka na elimu yako but anyway uhuru wa kujieleza. We jibu hoja. Unaelewa nini kutokukubali matokeo ya urais na hapo hapo kumkubali rais wa nji.
 
Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya

ndio maana nahitaji kutoa somo juu ya logic!!! sijui watu wanajenga vipi hoja wakaridhika katika vichwa vyao.
 
Mwanakijiji lini umeanza kufundisha logic? Tukienda kwenye hoja, kimsingi hili suala la CHADEMA kutotambua/kumtambua Rais au mfumo kama wanavyoita ni kuwachanganya wananchi. Hivi hawakujua kuwa wanaingia kwenye uchaguzi hali ikiwa vipi? Na kama walipanga kuingia katika hali yoyote mbona justification za kushindwa ni za kujichanganya. Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Ukimsikia Mbowe, Slaa na Zitto basi unachanganyikiwa. Otherwise waseme rasmi kama alivyosema Mbowe uchaguzi umekwisha na tumejifunza haya na wamobilise wananchi wawasaidie kupatikana hayo mahitaji ya uchaguzi ujazo.
Kiufupi hali ilivyo sasa hivi viongozi wa CHADEMA hawaelewi wanataka nini!
 
Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Kiufupi hali ilivyo sasa hivi viongozi wa CHADEMA hawaelewi wanataka nini!
nilisema huko nyuma, Chadema hawajipanga, wakanishukia, bora sema wewe Anfaal na pia usubirie kushukiwa.
 
Haya ndio yaliyojiri

  • baada ya uchaguzi
  • halafu NEC wakatoa matokeo
  • ndipo CHADEMA wakataa mchakato na taratibu zilizopelekea kutangaza matokeo yaloyotoa ushindi kwa rais
  • hivyo CHADEMA wakatumia haki yao ya msingi ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza na kuzungumza kufikisha ujumbe wa tatizo la msingi kwa Kutoka nje wakati wa hotuba ya Rais Bungeni... na Dunia nzima ikaelewa
  • basi sasa ... ndipo mwanzo wa kuwaandaa wananchi kutafuta suluhisho la kile kinachokwamisha na kuleta kasoro nyingi katika maendeleo ya taifa ikiwa ni pamoja na mchakato wa uchaguzi
  • ndiyo maana CHADEMA inaona sasa wakati umefika kuanza kuandaa mchakato wa kutengeneza katiba mpya
Hivi JFni nini ambacho hakieleweki....???
 
sasa naona watanzania kama zhu wamegoma kuelewa, kilichosemwa na chadema kiko wazi na hata mjinga wa mwisho anaelewa, zhu na wenzako labda mnataka muelezwe kwa lugha gani inawezekana kiswahili kinawapa shida
 
Mwanakijiji lini umeanza kufundisha logic? Tukienda kwenye hoja, kimsingi hili suala la CHADEMA kutotambua/kumtambua Rais au mfumo kama wanavyoita ni kuwachanganya wananchi. Hivi hawakujua kuwa wanaingia kwenye uchaguzi hali ikiwa vipi? Na kama walipanga kuingia katika hali yoyote mbona justification za kushindwa ni za kujichanganya. Hapa kuna haja ya tamko rasmi la CHAMA kuliko kama ilivyo sasa hivi. Ukimsikia Mbowe, Slaa na Zitto basi unachanganyikiwa. Otherwise waseme rasmi kama alivyosema Mbowe uchaguzi umekwisha na tumejifunza haya na wamobilise wananchi wawasaidie kupatikana hayo mahitaji ya uchaguzi ujazo.
Kiufupi hali ilivyo sasa hivi viongozi wa CHADEMA hawaelewi wanataka nini!
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.
 
Gurudumu na mashaka na elimu yako but anyway uhuru wa kujieleza. We jibu hoja. Unaelewa nini kutokukubali matokeo ya urais na hapo hapo kumkubali rais wa nji.

kwa sababu wewe mwenyewe huelewi, basi huna haja ya kuwauliza wengine wanachoelewa.

wewe endelea na shughuli zako tu.
 
Maskini Zhu...!!!!!?? Zhu maskiniiiiiiiiiiiiiiiiii hasa wa mawazo....!!!!!!!!!
 
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.
Sasa hivi wamegeuza kauli wanasema hawatambui mchakato uliyomuweka Rais madarani. Sasa km hutambui mchakato, je utambua huyo aliyeletwa na mchakato?
 
Huyu Zhu ukisoma jina lenyewe mara mbili utapata tafsiri yake halisi ya jinsi alivyo!!!!!
 
Mana yake ZUZU, yale ambayo nyerer alikua anayasema ukilipa kipande cha chupa linakupa almasi halafu linacheka sanaaaaaaaaaaaaaa...kwamba limekumaliza kumbe ni ZHU ZHU, ZUZU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom