Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 175
Kuna tetesi (zisizo rasmi) kuwa kuna uwezekano wa mh huyu kutorejea tena jimboni mwake 2015, sababu zilizopo ni ndizo zilizopelekea hata kutokuwemo kwenye cabinet iliyoapishwa hivi punde hapa Magogoni.
Lakini cha ajabu ni kwamba janki huyu mwenzetu amekuwa karibu saaana na mkuu wa nchi tangu walipokuwa MAMBO YA NJE na wakahamia wote pale magogoni, hatujui nini kimejificha baina yao ukizingatia baba ndie mtendaji mkuu wa chama TWAWALA.