Magufuli na kuvunja sheria

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
Kuhusu rushwa, waziri huyo aliahidi kupanda lori lililozidisha uzito na kutoa rushwa na akasema akikamilisha kazi hiyo watakaohusika watamtambua. Aliwataka watendaji wa mizani kusimamia sheria, kukamata magari na kupiga faini na kuteremsha mizigo bila kujali mmiliki wa gari au mzigo.

Source: Habari leo

Hivi Waziri kupanda gari lililozidisha uzito huku akilijua hilo sio makosa?
 
ni njia/mtego mojawapo ya kuwashika hao wala rushwa.......hajafanya kosa lolote.....hamna tofauti na wale wanaochukua hela za takukuru kwenda kuwategesha watu wanaochukua rushwa!
 
Ukiwa unafanya kazi TANROAD lazima utasema ni kosa bse itakuwa imekula kwako.
Sio lazima aende yeye ila anaweza ata tuma watu au kutumia ela za moto.
Jamaa kwa rushwa wamezidi sana yaani hawana tofauti na traffic au TRA
 
Point yangu sio kuwaregeshea pesa za moto but kupanda gari lililozidisha uzito!!!
 
Sasa yeye atajuaje kama limezidi uzito au nae anamzani atalipima kwanza lori
kabla ya kupanda ebu wadau wa waliopo wizara ya ujenzi mtueleze kabla haijawa
noma.
 
Back
Top Bottom