Lini waliyokubaliana ccm-a na ccm-b (cuf) ktk muafaka yatakuwa wazi??


Mwangaza

Mwangaza

Senior Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
198
Likes
2
Points
33
Mwangaza

Mwangaza

Senior Member
Joined Feb 26, 2008
198 2 33
Wadau msaaada kwenye tuta, kama kuna mwenye kujua walau hata kuwa na fununu kuhusu walichokubaliana Maalim Seif na Rais Karume kwenye ule muafakaa, autambie tujue, japo kidogo!!!

Maana hawa watu walitushirikisha ktk kupiga kura ya kuchagua serikali ya mseto tu. lakin makubaliano ya ndani ktk mseto huo yamekuwa siri yao, hawa mabwana hawa. Basi watambie tu tujue kama wananchi hatistahili kujua waliyokubaliana viongozi wetu, nasi hattouliza tena atiii ??

Kwa nini hawa watu wafanya siri?? hii sini sawa na katiba ya nnchi tu! ambayo sharti kila mwananchi ajue,au sio jamani??

Inakuwa ujinga kumshirikisha mtu achague kuoa/kuolewa harafu wewe waenda kumchagulia mke/mume kimya kimya..hii si sawa sawa kabisa.

Hii sawa na kuuziwaa mbuzi kwenye gunia!! lini wataweka mambo haya hadhalani????
 

Forum statistics

Threads 1,235,354
Members 474,523
Posts 29,219,819