Ndugu zangu, naomba mnijuze mambo waliyo yafanya kule pemba hawa jamaa wa cuf ili nasi tujifunze kuchagua upinzani. huku bara tumeshuhudia Karatu na kigoma ndio maana Chadema wakaweza kuendeleza ushindi zaidi baada ya mifano hiyo michache, je wenzetu wa Cuf wamefanya nini pemba??