Teh teh teh,Kweli wewe Rais wangu, ila ulipatikana kwa wizi wa kura,mwizi ni mwizi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teh teh teh,Kweli wewe Rais wangu, ila ulipatikana kwa wizi wa kura,mwizi ni mwizi tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malunde-Malundi, Nov 29, 2010.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FACT;

  Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje

  Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade
   
 2. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,630
  Trophy Points: 280
  Chadema:boink:JK,
  myself :frusty: :smash:

  2015 tusikubali hili, mwisho wa kuibiwa, NEC mpya na huru, katiba mpya tunataka, tusiwe kama hawa, unapigwa changa la macho tunacheka:caked:
   
 3. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MwanaJF President,We unasema 2015???????????????? Noooooo Nooooooo Nooooo Nooo!!!!!!!!!!!!!! It is Now!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nchi hii siyo ya mkwere na wanasisiemu wanaodaiwa kuwa milioni tano!!!!!!!!!!!!!! Watanzani sasa ni zaidi ya milioni 40!!!!!!!!!! What is 5m au 12.5%?????????????????Afadhali kipindi cha 2005-2010 mkwere alikuwa anaficha makucha yake; awamu hii ambayo ni ya mwisho kwake atakuwa mbaya kuliko-kwake na mafisad wenzake agenda yao kuu ni LOOTING!!!!!!!!!_LOOTING!!!!!!!!!!!!_LOOTING!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,630
  Trophy Points: 280
  Thanks, wote ni wanharakati, i want it to be even now, mapambano yanaendelea, kanyaga twende, kila mtu apige kampeni continuously,
  we are together
   
Loading...