Wanajamii natangaza nia nataka jimbo la musoma mjini 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajamii natangaza nia nataka jimbo la musoma mjini 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiherehere, Nov 28, 2010.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  wanajamii, msoma mjini ni jimbo langu la kuwa mbunge tokea nimezaliwa, na nimezaliwa katika familia ya kisiasa ambayo baba yangu mzazi ALIUWAWA kwa mbinu na ishu za kisiasa

  NINAYO DHAMIRA YA KWELI KATIKA KULETA MABADILIKO KATIKA JIMBO HILI.

  Sasa ninaomba ushirikiano wenu nichukue jimbo hili. Kwa kuwa KAMPENI ZANGU ZINAANZA RASMI KUANZIA TRH 13/12/2010 - 30/10/2015

  Naombeni kura zenu TAFADHALI
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  haujui hata chma gani unatangaza nia kugombea... kama CCM ni sawa tu .... au HR/CUF
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani na wewe UTAUWAWA kama baba yako....
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chama gani weka wazi tuweze kuchangia.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huo wivu na tamaa ya madaraka, kijana mdogo toka CDM kakamata jimbo juzi tu na hata bungeni kwenyewe vikao rasmi havijaanza ili tumpime mbunge mpya wewe umeishaanza kutaka kuleta machafuko na hujuma. Tunachagua viongozi ili wawe chachu ya maendeleo na kutupa mawazo mbadala ya kutuletea maendeleo, hatuchagui kutimiza ndoto zao. Hata kama una ndoto hatukuchagui kuwa mbunge wa Musoma mjini kwa kuwa Vincent Nyerere ndo kwanza ameanza kazi, wewe rudi shimoni kwako kaendelee kulala. Acha wivu Tata...
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kiherehere cha nia ya chama gani,,? tuambie
   
 7. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio maana jina lake kiherehere; upupu atakuwa ccm roho inamuuma na 2015 hata kata zilizobaki tunachukua musoma mjini ni ya Mwalimu nyerere, ni ya chadema maana chadema inamwenzai mwalimu kwa vitendo; dont waste your resources and time
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Muda bado, elekeza nguvu zako katika kushirikiana na mbunge wako
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nikumbushe nia yako ikifika 2014. Nahisi nitakuwa nishaisahau.
   
 10. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ukwilokwitanga, siyo vwivu kaka, na tusiwe na imani kuwa KUTANGAZA NIA, ni kumuonea wivu aliyepo. Tukumbuke mambo ya KUONA KWAMBA FLANI ANAONEWA WIVU ndio kumeleta maneno kuwa JIMBO NI FULANI. Monduli,mtera nk. Nategemea kuwa nitapata CHALLENGE kutoka kwa wanajamii Ili waweze kujua ni mtu makini kiasi gani au dhaifu kiasi gani katika suala nililoliweka hapa. Naomba challenge siyo kuvunjwa moyo...
   
 11. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Harakati za mambo ya msingi huwa zinaanza kwa muda mrefu.Kwa hiyo tegemea hii post kuwepo kwa kipindi chote.Pia nategemea challenege toka kwako na support tokea kwako. Tuko pamoja Hsninyo
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi haulewi lugha... kwa chama gani ????
   
 13. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Jojipoji, hakuna muda wa kutosha katika jambo linalopaswa kupangwa kwa kina. Hata ulipoanza kidato cha kwanza kama mtu makini ULIANZA KUSOMA KWA BIDII na ukijua wazi kuwa mtihani wa taifa UNGEUFANYA BAADA YA MIAKA MINNE.tutegemee mipango iliyo bora, na ninategemea mawazo yako JOJIIII. Tafadhali wasilisha.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  nyie ndiyo aina ya watu munaotoa pongezi kwa baraza la mawaziri hata kabla hawajaanza kazi.

  vincent nyerere hajamaliza hata mwezi ulishaanza kuwaza kugombea.

  una uchu wa madaraka.

  utafulia kisiasa.

  soon
   
 15. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo weye unagombea ubunge kwa sababu unatokea familia ya siasa tu na unafikiri hicho ni kigezo tosha na pili kwa ajili ya kulipiza kisasi cha babayo kuuliwa kisiasa.... heheh kweli tuna wanasiasa! na mie Geza, kwetu tusio na historia ya siasa nitangaze nia kivipi?
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Chama hakina tija, suala hapa chama kitakuja bbaadae. Cha msingi LAT, ni kuwafikia wapiga kura ILA MAPENZI YANGU YAPO kwa CHADEMA lakini hata kama hawatakuwa na dhamira ya kunisimamisha, ni kuangalia JE ninafit???? Siyo wote wanaogombea kwa kupitia chama flani, WANYAYO MAPENZI NACHO ila WANATUMIA TIKETI kuingia kupeleka mawazo yao. So chama kinafuata LAT baadae, naomba Challenge please au kama jibu halijatosheleza. Nawasilisha.
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwani kuzaliwa katika familia ya kisiasa nayo ni sera?

  mpaka hapo umeshindwa ubunge.

  fikiria kazi nyingine.
   
 18. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Geza, SIYO KULIPIZA KISASI LAH!!!!! ninayo fikra hiyo muda mrefu, so nimeitoa KAMA HOJA nikijua wazi nitapata challenege kama uliyoileta. familia ya kisiasa ambayo MTU ANAWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE ni nzuri zaidi KULIKO MWANAFALIA YA KISIASA ANAYEBEBWA. ni tofauti kubwa saaana kati ya Nape v/s Ridhwani Vinceny Nyerere v/s Karume raisi aliyemaliza muda wake, Jenista Muhagama v/s Vita Kawawa so pia utambilisho ni mzuri na haijarishi kuwa ni njia IPI inatumika so suala hili lilikuwa kama HOJA. Nimewasilisha GEZA
   
 19. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ng'wanangwa kuzaliwa FAMILIA ya kisiasa haimaanishi kama ni hoja!!! kwanza swali kwako kaka, je UNAJUA siasa ninayozungumzia ni katika kiwango kipi?? Na shuri lililopo jukwaani kwa wanajamii, sio siasa ZA VYAMA NDO SIASA..... Sijaijadili siasa kama mfumo wa utegemezi wa vyama katika familia niliyoisema, HAPO ULIPO WEWE NI MWANASIASA lakini sio katika mfumo tuliouzoea , kwa imani yangu UNAWEZA KUICHANGANUA SIASA na ukawa mwanasiasa LAKINI siyo katika mfumo wa vyama. Kwa watu walio wengi kwa hapa Tz, TUNAAMINI KATIKA PARTIES POLITICS, lakini ipo individual politics ambayo ipo kwa mtu mmoja mmoja na mfano mzuri ni WEWE Ng'wangwa.
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  wewe kweli kiherehere.

  umenichekesha na maneno yako. kwamba na mimi ni mwanasiasa. evidensi?

  kwa hiyo utakuwa mgombea binafsi? haipo kwenye katiba. sahau kuwa mbunge 2015.
   
Loading...