jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari...
KUNDI la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na Bunge Julai mwaka huu.Taarifa za...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai mjini Brussels, Ubelgiji Desemba 6 ambako walikutana wakati wa mkutano wa siku mbili wa Maendeleo ya Uchumi...
WanaJF nimestushwa na habari iliyoandikwa na gazeti la UHURU toleo la leo jumatano tarehe 8 Dec, 2010. Nimeangalia magazeti mengine, hakuna hata moja lilioandika walichoandika GAZETI HILI LA...
Gazeti la Majira la leo linatuhabarisha ya kuwa Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Wenje amechangiwa samani za ofisi ambazo mbunge wa zamani Masha aliziondoa...........
Na wakati huohuo Zitto...
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA (CDM) kuandaa maandamano kupinga ufisadi wa Dowans na kuendelea kukosekana kwa Umeme , haya maandamano ikiwezekana ya fanyike kwa pamoja mikoa yote yakiongozwa na...
Watanzania ni watu wa Ajabu sana. Wanaibiwa wananyamaza, wanacheka kama nyani. Matokeo yake wanakuja kuvuna mabua. Mafisadi wanatafuna nchi, kwa hiyo lazima tuchukue hatua. Kuna kaka amejitolea...
Naomba ufafanuzi. Katiba yetu ina maelezo gani kuhusu uchaguzi mdogo (by-election)? Hivi ni kweli kwamba kama ikitokea opportunity ya by-election muda wowote ule, chama kinaruhusiwa kumsimamisha...
JK angeweka Bandari wizara ya Ujenzi kama Viwanja vya ndege ili kuwashughulikia mafisadi wadogo pale Bandarini ingekuwa bomba sana. Nadhani hata wizi wa kijinga ungepungua pale. Naona mawaziri wa...
Kikwete misses out on legacy CORRUPTION, GOVERNMENT BUREAUCRACY SABOTAGING LANDMARK PROJECT
By Fumbuka Ngw'anakilala
7TH DECEMBER 2010
A giant $2 billion project that could have potentially...
Who's the Most Popular Modern President?
John Hudson John Hudson Mon Dec 6, 6:07 pm ET
WASHINGTON, DC According to a new Gallup survey, President John F. Kennedy remains the...
Kutokana na hali ya mgao wa ememe inayorindima Tanzania, kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali za kijamii pasipo kujua hatma yake.mimi kama Mtanzania mwenye kipato cha chini...
Ninaangalia taarifa ya habari ya ITV,Libya imeendelea sana.Miundombinu safi,maji n.k.Libya ipo kwenye jangwa ila Tanzania licha ya rasilimali zote bado tunasuasua.Nimeumia sana.Jiji la Dar tu...
Naam,
viongozi wetu bado hawajaanza kazi. wanaona kwamba ndiyo kwanza wamechaguliwa, wanahisi wanahitaji kupumzika kidogo. Matatizo yetu hayawasubiri wapumzike, yanaendelea kukua na mapya...
Professor Watson, mtaalam aliyebobea katika mambo ya vinasaba (DNA), alitueleza kuwa watu weusi tunavinasaba inferior kulinganisha na watu weupe, ilizua mjadala ambao ulijikita katika mazingira ya...
Katika gazeti la Mwananchi, December 2, 2010; imeandikwa:
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeamriwa kulipa fidia ya Sh106 bilioni kwa kampuni ya ufuaji umeme ya Dowans Tanzania Limited baada...