Tangazo la maendeleo ya CCM Kigoma

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
attachment.php
 

Attachments

  • CCMna maendeleo.jpg
    File size
    106.4 KB
    Views
    189

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
Makubwa hayo madogo yana afadhali!ni kawaida sera ya ccm ni ubaguzi na vitisho
 

Limbani

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
1,439
1,500
Na hiyo si Kigoma tu, hata kama upo Dar es Salaam nenda TANESCO onesha kadi yako ya CCM hutapata mgao wa umeme.. na hutahitajika kulipia LUKU yako. CCM Oyeeee!!
 

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
0
mimi last week nilinunua kadi ya CCM na nikaipeleka Tanesco tangu siku hiyo hawaja kata umeme kwangu na nimeambiwa kuwa ntakuwa nalipia umeme na maji nusu hadi 2015. maji sasa yanatoka kwenye bomba bila kukatika. yaani nashawishika kuaachana na dhamira yangu ya kumuondoa Lukuvi Isimani 2015

CCM Oyeeeee
 

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,053
1,195
Imenikuna sana hiyo, waandishi wangetusaidia sana kwa kutembelea na kuwahoji wananchi kama practical ni kweli
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
For How Long will CCM Continue with Economic Punishment on Opponents???

The CCM Economic Punishment for divergent voice that opposes it will soon be a thing of the past. CHADEMA and a number of national and international NGOs are seriously working on such claims in order to free the public from undue CCM punishment.

The ruling party have over many years been thriving on this malice to force an involuntary following from the public simply because very little was known about it all.

However, as for now many opposition political parties and the civil societies from within and outside the country are already on the ground, closely following and recording such diheartening UNDEMOCRATIC PRACTICES that has widely been running but without a say.

Just give yourselves a little more time and you will soon see what NGOs on the ground can do to roll-back a SYSTEMIC GOVERNMENT-PLANNED punishing of people who did not vote for it.

I just wish they knew how much is going on down there!!!
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
WANA-JF TUJADILI ZAIDI SWALA LA CCM KUADABISHA SAUTI HURU KWA KUNYIMA WANANCHI FURSA ZA KIUCHUMI

Kama kuna jambo ambalo Wana-JF tunatakiwa kulivalia njuga zaidi tangu sasa ni hili la wenye mawazo tofauti kunyimwa fursa za kiuchumi katika jamii yetu. Huu ni ubaguzi wa fursa za ki-uchumi ambayo ni mbaya sana wakati sote ni walipa kodi sawa kwa taasisi kama TANESCO!!!

Hili ni jambo zito lenye maslahi makubwa kwa taifa letu. Na pia, ni jambo moja ambayo mara nyingi huchangi watu ama kutokupiga kabisa kura ili isije ikawa taabu mbele ya safari au kujikuta wanalazimika kukipigia CCM kura hivo hivo hata kama hawakipendi.

CCM imedidimiza sana Demokrasia kwa kutumia mbinu kama hizi, usipokua wa KIJANA ni kwamba wanataka tuamini kwamba ajira hazipatikani kwako, mikopo benki yanakukimbia, bili za maji na umeme zitakukoma na kukatiwa huko, kodi za kukomehana kwa sana kwenye biashara, mikopo ya kusoma vyo vikuu ni lazima zikupitie mbali ...

Lakini tunasea basi yote yalio na mwanzo yatakoma si kipindi kirefu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom