Wito wa Maandamano Kupinga Kukosekana kwa Umeme na Ufisudi wa Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa Maandamano Kupinga Kukosekana kwa Umeme na Ufisudi wa Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Dec 8, 2010.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ni wakati muafaka kwa CHADEMA (CDM) kuandaa maandamano kupinga ufisadi wa Dowans na kuendelea kukosekana kwa Umeme , haya maandamano ikiwezekana ya fanyike kwa pamoja mikoa yote yakiongozwa na wabunge wa CDM na viongozi. Vitu vingine vya kupinga itategemea na mahali maandamano hayo yana fanyika.
  Kwa mfano Dari salaama hata maji na msongamano wa magari (foleni) inaweza kuwa agenda ya nyongeza,
  Mwanza/Shinyanga/Tabora/Arusha mambo ya madini, ugawaji hole wa ardhi nk.
  waswahili wanasema uwahi udongo ungali maji, na wathungu (waingereza) wanasema strike an iron while it is hot.
  hasa wakati baada ya kuchachuliwa kwa matokeo ya uchaguzi na kuwepo na vuguvugu la malipo ya Dowans na Bajeti kuchachuliwa, Pinda kukataa gari huku upuuzi mwingine mkubwa kuliko wa gari ya thamani ya 280m unaendelea.
   
 2. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mimi kwa mawazo yangu nafiki maandamano hayatasaidia sana! Kwa sababu yanaweza kufanyika maandamano ya amani na kwa nia njema kabisa ya kufikisha ujumbe, lakini wakatokea watu wachache wakatia dosari maandamano hayo kwa kufanya furugu zisizo za msingi, na kadhalika ili kuharibu lengo na nia njema ya maandamano hayo!!!mimi naona ni vema kufuata taratibu zilizopo kwa kuwatumia wanasheria ili kuweza kufikisha ujumbe!!!!!!!kwa kuionya serikali isiilipe tanesco hata senti tano!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...