Vigezo vya kuteuwa wabunge wawakilishi wa viti maalum(vijana)


M

Mama Mchungaji

Member
Joined
Sep 4, 2009
Messages
23
Likes
0
Points
0
M

Mama Mchungaji

Member
Joined Sep 4, 2009
23 0 0
jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari ni sifa zao za uzuri na sio ni jinsi gani walionyesha kulitumikia taifa mpaka kufikia kupendekezwa huko kuwa wabunge .. masaada tafadhali.
 

Forum statistics

Threads 1,236,570
Members 475,187
Posts 29,262,472