Mafisadi Hadharani

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Watanzania ni watu wa Ajabu sana. Wanaibiwa wananyamaza, wanacheka kama nyani. Matokeo yake wanakuja kuvuna mabua. Mafisadi wanatafuna nchi, kwa hiyo lazima tuchukue hatua. Kuna kaka amejitolea, lazima tumuunge mkono. Lazima tushirikiane kuwapinga hawa watu

VITA DHIDI YA UFISADI
 
watanzania ni watu wa ajabu sana. Wanaibiwa wananyamaza, wanacheka kama nyani. Matokeo yake wanakuja kuvuna mabua. Mafisadi wanatafuna nchi, kwa hiyo lazima tuchukue hatua. Kuna kaka amejitolea, lazima tumuunge mkono. Lazima tushirikiane kuwapinga hawa watu

vita dhidi ya ufisadi

ahsante bwana fisadi origino! Hivi ninin falsafa ya jina lako ,ukizingatia maadili ya mungu!
 
Back
Top Bottom