Natamani Bandari ingewekwa wizara ya ujenzi magufuli awashughulikie

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
13
JK angeweka Bandari wizara ya Ujenzi kama Viwanja vya ndege ili kuwashughulikia mafisadi wadogo pale Bandarini ingekuwa bomba sana. Nadhani hata wizi wa kijinga ungepungua pale. Naona mawaziri wa sasa na waliopita wanaishindwa kabisa Bandari ni aibu sana kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom