Nimesoma hoja nyingi amabazo zinadai waislamu tumekandamizwa tangu Tanganyika ipate uhuru. Lakini katika malalamiko hayo sijaona mahali tunailalamikia CCM kwa kutukandamiza kwa zaidi ya miaka 50...
INAKERA INAKERA INAKERA Huyu Basaleh na kusanyiko lake kila nikiwatafakari wanacho tetea ni nini sipati jibu!
Ukisema wanatetea waislamu ni waislamu gani walala HAI au walala HOI!
Ukisema...
Jana jk alienda chuo cha mafunzo ya kijeshi monduli kufunga mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa nyota moja, ila ilibidi ndege ikatue mojakwamoja jeshi, kisa eti hawezi kukatiza arusha anaogopa...
Katibu Mkuu wa CCM, Yusuph Makamba, ametakiwa kujitafakari upya na ikiwezekana aachie ngazi ili awapishe wengine waongoze.
Kauli hiyo imetolewa na mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM, kutoka mkoani...
Wana jf,hawa watawala na visafari vya dodoma hatuoni kuwa wanatubebesha mzigo usio na maana!tuwaulize schedule kamili ya kuhamia dodoma ikoje?naona wanakodi ndege kila siku kwenda dodoma na kulala...
Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Capt. Chiligati kuhusu kikao cha kamati kuu ya ccm, kamati hiyo haikuweza kutoa azimio lolote kuhusu maandamano ya chadema huko Arusha kwasababu suala hilo...
Chama cha democrasia na maendeleo leo kimefanya maandamano ktk sehemu tofaut za nchi,wakati dodoma maandamano wakubwa ya mefanyika na kutikisa mji wa dodoma yakiishiwa na mkutano mkubwa,ajenda ili...
Taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ilikutana jana jijini Dar es Salaam chini ya...
Wanachama wa CCM ni Wangapi mpaka sasa? Tunaomba kabla ya kujaza fomu waangalie hii Video na Kuangalia Chama Chao Kinajali Watanzania na Taifa kwenda mbele? Sio sera na Imani za Uongo za CCM...
Wadau kuna mwana JF alituwekea hapa janvini tamko la waislamu, nililazimika kuprint tamko lenyewe nikalisome kama kuna la maana la kujifunza. Nimejaribu kunukuu sehemu chache na kuzitupa hapa...
Wadau kuna mwana JF alituwekea hapa janvini tamko la waislamu, nililazimika kuprint tamko lenyewe nikalisome kama kuna la maana la kujifunza. Nimejaribu kunukuu sehemu chache na kuzitupa hapa...
Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
andhaa kanoon-amitah bachan
disco dancer-mithun chackraborty
kassam paida karne waleki-mithun...
Old-young rivalry in CCM; what next?
The unprecedented bold stand taken by the youth wing of the ruling Chama cha Mapinduzi (UVCCM) to reject compensation to Dowans, contrary to the position held...
let thanks God for bringing such potential leaders who are from ruling party who definitely are weak. It was God plan to put them on power so that things that were hidden for long time are...