maandamano mbeya yamekwendaje?

Maze

Member
Oct 29, 2010
88
35
wana jf natamani kujua maandamano jiji mbeya yamefanyika na watu waliitikiaje. tafadhali tuhabarishane wana jf:playball::lalala:
 
Wana JF ambao mnataarifa tunawaombeni sana mtuhabarishe yaliojili kwenye mikoa mbalimbali na tukipata picha ni vizuri zaidi. Hii kwetu ni tathimini nzuri sana.
 
Tunaomba inform huku north tujua nguvu zenu za kuhamasisha....Tunisia inakuja....
 
Tunaomba inform huku north tujua nguvu zenu za kuhamasisha....Tunisia inakuja....
Kinyesi!
hivi mnatarajia hii Tz ni yenu peke yenu? takutana na nguvu ya uma part one. hiyo ya kwenu cha mtoto aka part 2.
 
Back
Top Bottom