Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
andhaa kanoon-amitah bachan
disco dancer-mithun chackraborty
kassam paida karne waleki-mithun chakraboorty
loha-mzee ashanti and others
tarzan
amne samne
missing in action-c.norris
commando-arnold schwerzenneger


ongeza nyingine unazojua za kitambo kile

na ayo majumba ya cinea je??

cameo
avalon
empire
empress
drive in-hapa ukipita kwa nje unaona movie yote
 
New Chox

duh hizo movie sio mchezo, maana naona mzee unazungumzia 80's na 90's
mambo ya
Hatya- Govinda, Shakti Kapoor
wapo pia wakina Sunny Deol, Dharmendra, Najirudin Shar, Hema Malini, Jitendra, Amrish Poor (Ashanti)
Lakini kwa hao wahindi mwisho mimi nilikuwa namwona ni Amitha Bachan (Mard, Coolie, Carier, Gangaa jamuna, Adha Toofan)

kwa Wazungu kuna wale wakina JImmy Kelly, MAulizio Meli
 
Umesahau Chox Cinema. Hata hivyo umenikumbusha mbali ndugu yangu. Filamu nyingine nilizozipenda;

Sholay -- Dharmendra, Amitabh B.
Jaws - Roy Scheider, Richard Dreyfuss
Airport - Burt Lancaster, Dean Martin
Towering Inferno - Steve McQueen, OJ Simpson
Earthquake - Charlton Heston, Ava Gardner
 
kuna ukumbi pale iringa ulikuwa unaitwa paradise na mwingine highland sinema siku za jumapili na jumamosi pia siku za christmass,pasaka na eid we acha tu mkitoka hapo mnaanza kusimuliana mashuleni

Umesahau Chox Cinema. Hata hivyo umenikumbusha mbali ndugu yangu. Filamu nyingine nilizozipenda;

Sholay -- Dharmendra, Amitabh B.
Jaws - Roy Scheider, Richard Dreyfuss
Airport - Burt Lancaster, Dean Martin
Towering Inferno - Steve McQueen, OJ Simpson
Earthquake - Charlton Heston, Ava Gardner
 
Kwa wale wazee zaidi tunakumbuka:

The Longest Day
Ben Hur
Sangam
Ten Commandments
 
New Chox

duh hizo movie sio mchezo, maana naona mzee unazungumzia 80's na 90's
mambo ya
Hatya- Govinda, Shakti Kapoor
wapo pia wakina Sunny Deol, Dharmendra, Najirudin Shar, Hema Malini, Jitendra, Amrish Poor (Ashanti)
Lakini kwa hao wahindi mwisho mimi nilikuwa namwona ni Amitha Bachan (Mard, Coolie, Carier, Gangaa jamuna, Adha Toofan)

kwa Wazungu kuna wale wakina JImmy Kelly, MAulizio Meli

humo huo kaka nakumbuka 1987 nikiwa mama alikuwa akinipeleka sana cameo na empress,enzi hizo nimemaliza zangu vidudu baptist naanza darasa a kwanza makurumla mwembechai..tulikuwa tunabanana mitaa ya tandale kufata video halafu wakubwa na wadogo..george,salum mmanga,haji bunu mko wapi???
 
Jamani, mnasahau filam za Bruce Lee? Hizi za kung-fu zilianza kureplace zile za ki-cowboy tulizokuwa tumezizowea kama vile;

The Good, the Bad and The Ugly -- Clint Eastwood, Lee Van Cliff, Elli Wallachi
One Silver Dollar -- Guliano Gema
Springfield Rifle - Gary Cooper
 
Pia kulikuwapo:

Bobby -- Rishi Kapoor & Dimple Kapadia
Satyam shivam sundaram -- Shashi Kapoor & Zeenat Aman
Amar Akbar Anthony -- Amitabh & Parveen Babi

Na za kizungu:

Dr No
Casino Royale -- za Sean Connery

Na

Wilbur Conspiracy

Cotton comes to Harlem za Sydney Poitier
 
Miye majumba yangu makubwa yalikuwa ni Empire, Empress, Avalon na Drive In. Lile New Chox nilikuwa silipendi kweli maana lilikuwa limechoka ile mbaya na pia kulikuwa na panya buku kule ndani lakini wakati mwingine walikuwa wanacheza sinema nzuri sana ambayo huikuti jumba lolote jijini. Miye nilikuwa sikosi zile sinema za Bruce Lee yaani we acha tu jamaa nilikuwa namzimia sana halafu zile za wababe akina Guliano Gemma na wenziye. Za kihindi nilikuwa si mpenzi sana ila nilikua naziangalia mara moja moja hasa pale Drive in.
 
Sitakaa nisahau daima mara yangu ya kwanza kwenda ukumbi wa cinema ilikua tanga ukumbi wa majestic cinema, napicha ilikuwa na loha.
 
Majumba ya Mwanza:
1: Liberty
2: Tivoli

Sinema ninazozikumbuka:

1: Mukhadar Ka Sikandar
2: Eifty Fifty

Wachezaji:
1: Amjad Khan
2: Rekha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom