Mzee basaleh @ company mnatetea nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee basaleh @ company mnatetea nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgen, Jan 23, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  INAKERA INAKERA INAKERA Huyu Basaleh na kusanyiko lake kila nikiwatafakari wanacho tetea ni nini sipati jibu!

  Ukisema wanatetea waislamu ni waislamu gani walala HAI au walala HOI!

  Ukisema wanatetea DINI Mbona mpaka maaskofu waanze kusema wao ndio wajibu!

  Ukisema anaanzisha biashara ya UDINI Mbona biashara hiyo imesha FIRISIKA SAWA NA Biashara ya nyanya. Maana biashara inayo lipa kwa sasa ni kati ya WALIONACHO NA WASIO NACHO Hapo tukifanya mashara itatugharimu, lazima tuvune tunachonachokipalilia kwa sasa maana tumesha kipanda muda!

  Basaleh na kundi lake wanatetea nini! naomba mnijuze! great thinkers, au hata wapambe wake ruksa
   
Loading...