Nukuu toka tamko la waislaamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu toka tamko la waislaamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by emalau, Jan 22, 2011.

 1. e

  emalau JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]Wadau kuna mwana JF alituwekea hapa janvini tamko la waislamu, nililazimika kuprint tamko lenyewe nikalisome kama kuna la maana la kujifunza. Nimejaribu kunukuu sehemu chache na kuzitupa hapa janvini ili ikiwezekana tujadili kidogo ingawa mengi yamesemwa, na tuangalie kama maneno waliyotamka na kuandika yalistahili kutamkwa na viongozi wa dini au la. Nukuu zenyewe ni kama ifuatavyo:[/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
  1) 1) maaskofu walithubutu hata kuweka kando mafundisho ya Biblia yao juu ya masuala ya uzinzi wakawahimiza waumini kumpigia kura mtu wanayemtaka bila kujali kwamba anakabiliwa na kashfa ya kupora mke wa mtu. Waliwaambia wasihangaike na maisha binafsi ya ndoa ya mgombea.  2) 2) Waislamu tumelazimika kukutana na kutoa tamko hili kwa sababu matukio yanayotokea hivi sasa yanaonesha kuwa wale ambao Watanzania walikataa kuwapa uongozi na Ilani yao iliyoandaliwa na maaskofu, ndio sasa wanaielekeza nchi pa kwenda huku viongozi wa CCM na serikali wakijitahidi kadiri ya uwezo wao kunyenyekea kwa maaskofu hao.

  3) 3) Ndio maana tangu wakati wa Nyerere hadi leo, uchaguzi wa viongozi wa Waislamu husimamiwa na vyombo vya dola. Nia ikiwa ni kutokuwapa Waislamu uhuru wa kuwachagua viongozi wao.

  4) 4) mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa Waislamu wanadhoofishwa katika kila hali, na ni makosa makubwa kuwaimarisha kiuchumi au kielimu

  5) 5) Kwa kushinikizwa na Maaskofu serikali iliwauwa Waislamu watatu Mwembechai pasi na hatia yoyote


  6) 6) Hivyo wajibu wetu mwingine ni kupigania ukombozi wa Waislamu ili washiriki katika kuandaa katiba mpya wakiwa ni raia huru na sawa na wenzao. Waislamu popote tulipo tunao wajibu wa kuorodhesha dhulma zote za udini tunazofanyiwa na kupigania ziondolewe kwanza na kulipwa fidia.
  [FONT=&quot] [/FONT]
  7) 7) Umefika sasa wakati wa kugawana nchi ili Waislamu wanaochukiwa na kunyimwa fursa sawa na Wakristo waishi katika maeneo yenye Waislamu wengi na Wakristo waishi katika maeneo yenye Wakristo wengi.
  [FONT=&quot] [/FONT]
  8) 8) Kugawana nchi kutawawezesha Waislamu kuwa na Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC bila ya kuwakera Maaskofu.
  [FONT=&quot] [/FONT]
  9) 9) Baada ya miaka 50 ya kuachia kundi moja la jamii likistarehe na hali Waislamu wanateseka, umefika wakati sasa wa kugawana machungu ya udini tuliyoyabeba peke yetu kwa miaka hamsini.


  [FONT=&quot]My take: Pamoja na mambo mengine waliyosema, nukuu No. 7 na 8 zimenitisha zaidi na wameweka historia mbaya katika nchi yetu, itabaki katika kumbukumbu kwamba waislaamu wan chi hii walishakusudia kuigawa nchi kwa misingi ya dini.

  [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  no coment.
   
 3. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mie ni muislamu ila napinga sana tamko hilo, tatizo letu waislamu wengi dini ndio inawatawala badala ya fikra kutangulia, tanzania inapoelekea ni kubaya kama mambo yatakuwa ni hvi, udini ndio chanzo cha vita
   
 4. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  God bless them as they realise their grave mistakes they have been doing.
   
 5. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ni upungufu tu wa maarifa vichwani,
  nashindwa hata kuelewa watu kama hawa wamepewa vipi mamlaka ya kuongoza waislamu
  wengi wenye busara tunaoishi nao huku mitaani.
   
 6. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haf mie ninavyoona ni genge tu la watu wachache, ambao wana sababu zao binafsi wanazozijua wenyewe na si wawakilishi wa waislam wote! Ila wanaweza sababisha machafuko siku za usoni kwa kujenga chuki miongoni mwa haya makundi makubwa ya kidini. Serikali inatakiwa kutibu kabisa hii hali, isije ikageuka na kuwa JIHAD

  Kwa mtu mwenye akili timamu na anayejudge mambo bila upendeleo wa kidini ataona kwamba madai yote hayana msingi na yamejikita katika chuki tu!
   
 7. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe ni muislamu kama ambavyo mie ni mkiristo.

  Ujumbe kwako "Only fools can use an old trick thinking they invented them"- Nancy Tweed.

  Thats an old trick, come with another one-----fool
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :suspicious: Are you serious???????:A S-fire1:
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mbona hawa watu hawaeleweki sasa hivi wanataka mahakama ya kadhi iwekwe kwenye katiba ya nchi na isimamiwe na serikali. Tatizo la Waislamu ni nini?
   
 10. oba

  oba JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Problem ni pale wanapotaka kushindana na ukristo kwa staili yao ya mabavu. Ukiristo is a superior religion ever existed, kwa hoja hawawezi ndiyo maana wanataka kuleta fujo, christians be careful!
   
 11. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  All they want is to derail us from the main agenda.... achaneni nao hao!!
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Haya bwana, yetu macho na masikio.
   
 13. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kama wanasema uislam umekandamizwa kwa miaka 50 walipaswa wajiulize je viongozi wao walikuwa wapi? Na ni juhudi gani walizozifanya kuiondoa hali hii.
  Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa kama kuna watu hatari kwa taifa letu basi tamko hili halina tofauti na hatari za RICHMOND na DOWANS
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi siwalaumu sana maana tatizo lao kubwa ni elimu. Si ajabu asilimia 90 ya walioandaa hilo tamko wana elimu ya kiwango cha darasa la saba kwa elimu dunia (kama wanavyoita wao wenyewe) na kiwango cha PhD kwa elimu akhela. Kwa hiyo, thinking yao ni finyu sana. Waislam welevu wenye kiwango kizuri cha elimu hawawezi kuandaa utumbo wa aina hiyo.
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mie ni muisilam vilevile. Kwa uzoefu wangu, wanaharakati wengi wa kiisilamu hujituma pale ambapo kuna maslahi na wala sio kwa imani. Migogoro yote iliyoleta kashikashi miaka ile; kuanzia Balukta, Mihadhara na hata Mwembechai, kulikuwa na ufadhili nyuma yake.

  Swali la kujiuliza; haya ya sasa nani yuko nyuma yake? miongoni mwa mafisadi tunaojaribu kupambana nao, mmoja wao atakuwa ameuwasha huku na kasheshe lake hatutakumbuka tena habari ya mageuzi. Na wakaamua kuingia mtaani hata polisi sio kazi rahizi kuwadhibiti.
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  tatizo linaweza kuwa ni "malezi" na hasa pale watawala wanaposhindwa na kujaribu kuchomeka watu wanaoweza kuungana nao katika kushindwa kwao wakidhani ndio ushindi. Sina kumbukumbu nzuri lakini sijasikia waislam wakilalamika kwenye nafasi ambazo zinahitaji competence kama udaktari na engineers mbali na kuishia kusema kuwa wamenyimwa nafasi za kusoma. Ugomvi unakuja zaidi kwenye nafasi za siasa (katibu wa chama, wenyeviti wa bodi, nk) ambazo mara nyingi wanachukulia kuwa ni "it is our time to eat". Kuna wanafunzi kwenye elimu ya juu ambao ni waislamu na wanajilipia karo na kuumia na mfumo onevu wa elimu uliopo kwa sasa baada ya kuona ukweli na kuacha porojo. NYIE MNAOJIITA WAISLAMU, MSITURUDISHE NYUMA TAFADHALI!!!!
   
 17. B

  Bull JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Mkiristo, nadhani wakiristo wenzangu mnaufinyo wa kuolewa mambo, Mkisoma kwa makini mtaona waislam wanahaki ya kuleta madai kama mtanzania mwingine , kumbukeni tunaishi ktk nchi inayoruhusu freedom of expression ni tafauti na tunakotoka wakati wa Nyerere,

  Ethical issue; ni kitu muhimu kuandalia kama mtu anataka uondozi, kama Mchungaji au JK anakabiliwa na kesi ya uzizi, hili nikosa kubwa la uzizi, kiongozi anaekabiliwa na shtaka kama hili nivizuri ajiuzulu na kama bado hajachaguliwa inamaana hafi kuwa kiongozi kutokana Moral Issue

  Kama waislam wanaona wanaonewa, basi wako na haki ya kuelezamasikitiko yao, kama vile Wakiristo wa madhehebu mengine waliwai kumlalamikia Nyerere kuwa anachaguwa wakatiliki pekee

  Ndugu zangu wakirsto, tujaribu kuwa waelewa wa mambo kikina sio kukurupuka na kuongozwa na jazba na matusi, najua tunamatatizo ya kuelewa kiswahili lakini inabidi kujielimisha
   
 18. C

  CITYBOY Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We si mwislamu wala hata uislam huujui.Kama huna lakusema kaa kimya.Acha UNAFIKI wakujipendekeza kwa MAKAFIRI. Wanaojipendekeza ni Munafiquun.
   
 19. C

  CITYBOY Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna lolote ujualo wewe!Mla ndizi husahau ila mtupa maganda hasau kamwe.Mengi tumetendewa na tunahaki ya ku reveal yote.
   
 20. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Waislamu twendeni na Muhimbili tukatake idadi ya madaktari iwe nusu kwa nusu tusing'ang'anie kwenye siasa tu
   
Loading...