Kwanini kamati kuu ya CCM inafanya maamuzi yanayokinzana kwa masuala yanayofanana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kamati kuu ya CCM inafanya maamuzi yanayokinzana kwa masuala yanayofanana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 22, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Capt. Chiligati kuhusu kikao cha kamati kuu ya ccm, kamati hiyo haikuweza kutoa azimio lolote kuhusu maandamano ya chadema huko Arusha kwasababu suala hilo liko mahakamani. Kama hivyo ndivyo mbona kamati hiyo hiyo, ilitoa azimio kuhusu malipo ya Dowans ambayo nayo pia, kulingana na taarifa yake tayari yamefikishwa mahakamani!
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huu ni Ndio Ubabe wa CCM! Kamati Kuu ya CCM ndio Mahakama Kuu ya Tanzania. Kilichozungumziwa Kamati Kuu kisheria ya Tanzania tunaita precedent au wametoa mweleko wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tukiangalia Historia ya decisions zote za Mahakama Kuu na Mahakama za Tanzania utaona maamuzi hayatoki mahakamani ila Kamati za CCM na Ofisi ya Raisi, Ikulu. Tunacho tafuta Mahakamani cha ajabu Nini? Kwanini Kila swala Tanzania Lisisubiri Baada ya Katiba Mpya au Uchunguzi wa Kina? Njama za Ugaidi ndizo zanaendelea kwenye Taifa letu na Wanafikiri wananchi tutakwenda kulala kama kawaida tukisema "Mapenzi ya Mungu" Ujinga na Upuuzi wa Mwisho...
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio sihasa mkubwa!
  AKILI MKICHWA!! Unadhani ni wangapi wamelitazama hilo uliloliona?
  Siasa za Tanzania ni ushabiki mtupu ndio maana vyama vinaogopa kukimbiwa na watu! CCM kwa kulijua hilo ndio maana wanayafanya wanayoyafanya na kwa sababu wanao wanaoyashabikia ndo hivyo... TAARIFA ZINAFANANA MAAMUZI TOFAUTI - NA WAPO WANAOUNGA MKONO KWA NDEREMO NA VIFIJO!
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  UVCCM yenyewe na polisi wenyewe hawajui kuwa hiyo kesi a CDM ipo Mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CCM imebaki Jeneza hamna mtu ndani kisha oza.
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ccm safi endelea hivyo hivyo tu. Ili ujichimbie kaburi
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  CCM na wengine wengi mwisho wao unakaribia! waache wajihalalishie pesa zetu tuu
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu hawana akili na kwa kidogo waliyo nayo wanadhani waTanzania ndo hawana!Mwaka huu wataula wa chuya..
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mababa wazima hovyo!!!!!! Wanaketi kikao kizito lakini hakuna hata mmoja mwenye ujasiri wa kutoa hoja ya kujadili ni nani hasa kati yao au serikali yao aliyesababisha hasara kwa wananchi kutokana na tozo la Dowans na hivyo achukuliwe au wachukuliwe hatua. Mababa wazima hovyo -- wote walikuwa hawatazamani -- wanatazama chini kwa kuhofia hoja ya namna hiyo kuibuliwa. It's just a gang of the Mafiiosi, all of them!!!
   
Loading...