CHADEMA wawasha moto kila kona ya nchi: Dar, Dodoma na Songea kwalipuka!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Chama cha democrasia na maendeleo leo kimefanya maandamano ktk sehemu tofaut za nchi,wakati dodoma maandamano wakubwa ya mefanyika na kutikisa mji wa dodoma yakiishiwa na mkutano mkubwa,ajenda ili kuwa ni kupinga mauaji ya arusha,dowans na katiba mpya,huko songea nako maandamano makubwa yamefanyika na sasa mkutano unafanyika,na kwa dar mabibo hapatosh sasa..mtu atakimbia ikulu mwaka huu
 
source plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

kuhusu dodoma mimi mwenyewe nilikuwa kwenye maandamano hayo na muna si mrefu 2metoka kwenye mkutano.wanafunz wa udom wamechanga lak 7 kwajil ya wahanga wa arusha maandamano yalikuwa ya amani,watu walibeba mabango ya kuilaan serikal na polic,na huko songea mkutano unaendelea had sasa na nimetoka kuongea na mwenyekiti wa chadema mkoa wa ruvuma kaniambia haijawah tokea watu weng walijitokeza kwenye maandamano na sasa wako kwenye mkutano shule ya msing songea hoja kuu ni kutoa tamko kwa serikal juu ya kuzinyima vocha za mbolea kata zote zinazoongozwa na chadema..ya dar iko waz..km kunamdau mwingine anafahamu sehemu nyingine iliyowaka moto leo bac atujuze.
 
source plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Hizi source kuna wakati tunauliza kama robbots!
Ishu kama ya mabibo iko wazi tokea jana, na kuna thread inayoendelea ya ripoti ya yanayojiri hapahapa...
Mtu bado anauliza ...'source'...my knucles!
 
Maamuzi wa watu, way forward yanatokana sana na matokeo ya ufanyaji kazi wa siku kwa siku wa serikali iliyopo madarakani. Kuna siku watu wataikataa serikali kama mambo yenyewe kila siku ni kulipa faini ambazo ukiangalia sana ni kama namna ya wakuu ya kula fedha za umma kwa kusingizia ATCL, Dowans, Richmond, na mtoto mwingine yoyote ambaye yuko jikoni anaandaliwa.
 
kuhusu dodoma mimi mwenyewe nilikuwa kwenye maandamano hayo na muna si mrefu 2metoka kwenye mkutano.wanafunz wa udom wamechanga lak 7 kwajil ya wahanga wa arusha maandamano yalikuwa ya amani,watu walibeba mabango ya kuilaan serikal na polic,na huko songea mkutano unaendelea had sasa na nimetoka kuongea na mwenyekiti wa chadema mkoa wa ruvuma kaniambia haijawah tokea watu weng walijitokeza kwenye maandamano na sasa wako kwenye mkutano shule ya msing songea hoja kuu ni kutoa tamko kwa serikal juu ya kuzinyima vocha za mbolea kata zote zinazoongozwa na chadema..ya dar iko waz..km kunamdau mwingine anafahamu sehemu nyingine iliyowaka moto leo bac atujuze.

Kamanda kama kuna picha tuwekee jamvini kwa kumbukumbu na taarifa!
 
kejeli aliyotoa mkwere pale uwanja wa ndege inaonyesha ni kwajinsi gani huyu jamaa alivyo mtu wa mzaha.badala ahuzunishwe na watu kupoteza uhai yeye analeta kejeli zake zisizo na mpango.asichukulie poa maandamano yanayoendelea,anatakiwa atie maji,watu wameshajanjaruka,nguvu ya umma haitozimishwa kwa risasi.
 
Tunashukuru sana kwa kutuhabarisha. Chadema ikiendelea kwa mtindo huu, 2015 lazima sisiem iangukie pua.

Pipooooooooz........
 
yaaaap,uhuru wa kujieleza
kuhusu katiba mapaka kieleweke jamani
picha muhimu tujioneeeee hata kama hatukuwepo ktk kikao
 
kejeli aliyotoa mkwere pale uwanja wa ndege inaonyesha ni kwajinsi gani huyu jamaa alivyo mtu wa mzaha.badala ahuzunishwe na watu kupoteza uhai yeye analeta kejeli zake zisizo na mpango.asichukulie poa maandamano yanayoendelea,anatakiwa atie maji,watu wameshajanjaruka,nguvu ya umma haitozimishwa kwa risasi.
Mkuu umenifanya nicheke 'kejeli aliyotoa mkwere....jamaa alivyo mtu wa mzaha....analeta kejeli zake zisizo na mpango' Huyu ndiyo muuza sura yeye hana lingine ni kutaka attention thats all. Lakini kitaeleweka siku za karibuni. Tunisia hawakujua yangekuwa yaliyokuwa. Mkwere afahamu kwamba watu tumechoka na upuuzi huu wa serikali yake isiyo na huruma na watu. Bora lianze tu. Tupo tayari kufa lakini tunajua watoto na vizazi vijavyo watafaidi. Kama noma na iwe noma
 
Back
Top Bottom