Dodoma kuwa makao makuu,hakutuongezei mzigo wa watanzania kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma kuwa makao makuu,hakutuongezei mzigo wa watanzania kwa sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGOLALA, Jan 23, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Wana jf,hawa watawala na visafari vya dodoma hatuoni kuwa wanatubebesha mzigo usio na maana!tuwaulize schedule kamili ya kuhamia dodoma ikoje?naona wanakodi ndege kila siku kwenda dodoma na kulala dar!kama wameamua kubaki dar waseme!
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na hapa ndipo very few of us wamekuwa wakihoji! Tumekuwa na matumizi double in terms of watendaji/wasaidizi wa kwenye ofisi za wanene hawa kwa mfano ofisi ya waziri mkuu, rais wa nchi , baadhi ya mawaziri, nk. both in dar and dom. There is a genuine need to a fixed schedule ya kuhamia rasmi au kama haiwezekani basi iwe wazi!
   
Loading...