Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Kongamano litakuwa la maana sana kama mtaweka hadharani mnachosikia na kuona...!
 
Mh. Mrando kasema nini in brief?
Marando amechambua madhaifu ya katiba yetu mbovu,wakati huohuo akatudokeza baadhi ya vifungu vya katiba ya wenzetu wa kenya just kama kutuhamasisha,kwa kweli watu wameguswa na wengi wamepiga kelele"tuvicopy na tupaste vyote"
 
Back
Top Bottom