Huu ni unafiki suala la katiba

bayonet

Member
Jan 7, 2011
43
0
Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya kitaifa nimefanikiwa kufanya mahojiano kibao tu...safi sana..lakini nikirejea hili kongamano la leo la wasomi,wataalamu,wanasiasa na watunga sera nimebaini mambo makuu matatu...

moja,hakuna hata mmoja kati ya walioshiriki amebainisha kwa ufasaha je,twahitaji katiba mpya au tuweke viraka katika hii iliyopo sasa ya mwaka 1977 ambayo imepitia ammendments kibao??

pili,richa ya kutoa kasoro chache katika hii iliyopo hawakuweza kubainsha mwarobaini wa kasoro hizo..na tatu,bado watu wengi na hasa wanasiasa hata wastaafu wa siasa wanatumia mijadala na mada za kitaifa kama hizi kutafuta public notification na kutafuta fursa za kufikia malengo yao...

na mwisho maslahi binafsi yamewekwa mbele kwa mfano baadhi yao wanaingiza masuala ya richmond,epa,iptl na masuala ya jeshi la polisi na mihimili mitatu ya dola kana kwamba mwanakijiji wa huko matombo anayajua hayo....na pendekezo langu badala ya kuanza kujadili sijui watu wa kuwateua kuchakachua katiba wakiwemo wataalamu,bora twende vijijni na ikiwezekana hata shule za msingi,sehemu za kuabudia,masokoni na kila sehemu tuhakikishe kila mtanzania anaifahamu kwa kina katiba ya SASA....NAWASILISHA
 
Bangi na umaskini wako vinakifanya ufikiri kwa makalio badala ya kichwa.
 
wewe umepitwa na wakati....sasa hivi ...hata rais wako amekubali kuwa hakuna mjadala tena wa kwamba tuweke viraka au tuwe na katiba mpya.... kilichopo sasa ni majadiliano na mididahalo ya mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya.... period.... kama unataka kuweka viraka katiba nenda DRC
 
hata wavuta bangi wana haki ya kujulishwa katiba iliyopo na mabadiliko pia...jibuni kwa hoja sio matusi na jazba hata wachangiaji wamelibainisha hilo tusitumie jazba bali busara na uhakika..asanteni kwa kuisoma post jamani mizuka na mihemko sio........
 
Safi sana bayonet, naona una kichwa kigumu hukuweza kuelewa, yote yaliyozungumzwa kama vile; Upungufu ulioko kwenye Muungano, Upana wa madaraka ya Rais, viongozi wa serikali za mitaa na vijiji pamoja Watendaji mbali mbali wa serikali kuteuliwa kwa upendeleo, kuwa na Tume huru ya Uchaguzi, Uteuzi wa kamati ya katiba ya Rais , bado hapo hukuelewa chochote POLE SANA. Usiwe na haraka hudhuria makongamano mengi utaelewa tu hapa ni mwanzo tu wa majadiliano sio mwisho.
 
uuuups,asante sana wavipaji.........hivi katiba ikibadilishwa leo hii,mkulima wa mahenge,kashenge,kibaigwa n.k watapata unafuu wa kulima na soko la uhakika la mazao yao??tuendeleeni jamani
 
jamani ulitaka waongee nini ile hali kila kilichozungumzwa pale ni kuandikwa kwa katiba mpya,na mapungufu mengi yaliwekwa bayanaa na watoa mada......
 
Kwa kifupi kwa definition sahihi ya katiba wabongo hatuna katiba kwa kuwa iliyopo haikushirikisha wananchi ambao katiba ni mali yao. Hivyo katiba mpya inahitajika. Ninahakika hata mwananchi wa kijiji akiambiwa kuwa sababu ni hiyo nadhani ataelewa.
 
uuuups,asante sana wavipaji.........hivi katiba ikibadilishwa leo hii,mkulima wa mahenge,kashenge,kibaigwa n.k watapata unafuu wa kulima na soko la uhakika la mazao yao??tuendeleeni jamani

Mabadiliko ya katiba ndio hasa yanalenga kutatua matatizo kama hayo. Viongozi Wazembe wasioweza kushughulikia matatizo ya wananchi katiba mpya itawashughulikia
 
moja,hakuna hata mmoja kati ya walioshiriki amebainisha kwa ufasaha je,twahitaji katiba mpya au tuweke viraka katika hii iliyopo sasa ya mwaka 1977 ambayo imepitia ammendments kibao??

pili,richa ya kutoa kasoro chache katika hii iliyopo hawakuweza kubainsha mwarobaini wa kasoro hizo..na tatu,bado watu wengi na hasa wanasiasa hata wastaafu wa siasa wanatumia mijadala na mada za kitaifa kama hizi kutafuta public notification na kutafuta fursa za kufikia malengo yao...

na mwisho maslahi binafsi yamewekwa mbele kwa mfano baadhi yao wanaingiza masuala ya richmond,epa,iptl na masuala ya jeshi la polisi na mihimili mitatu ya dola kana kwamba mwanakijiji wa huko matombo anayajua hayo....na pendekezo langu badala ya kuanza kujadili sijui watu wa kuwateua kuchakachua katiba wakiwemo wataalamu,bora twende vijijni na ikiwezekana hata shule za msingi,sehemu za kuabudia,masokoni na kila sehemu tuhakikishe kila mtanzania anaifahamu kwa kina katiba ya SASA....NAWASILISHA

Sidhani hata kama umewaelewa............................wote shivji na Jenerali wamesema katiba mpya haikwepeki na wameweka mchakato ambao unapaswa kuwashirikisha wananchi kinyume na katiba zilizopita.............where were you?
 
uuuups,asante sana wavipaji.........hivi katiba ikibadilishwa leo hii,mkulima wa mahenge,kashenge,kibaigwa n.k watapata unafuu wa kulima na soko la uhakika la mazao yao??tuendeleeni jamani

Wewe ni mwehu! Kaa kimya kama huna jambo la msingi la kuchangia badala ya kuonyesha ujinga wako kwa watu wanaopambana usiku na mchana kuhakikisha katiba mpya ya nchi inachangiwa na wananchi wore.
 
Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya kitaifa nimefanikiwa kufanya mahojiano kibao tu...safi sana..lakini nikirejea hili kongamano la leo la wasomi,wataalamu,wanasiasa na watunga sera nimebaini mambo makuu matatu...

moja,hakuna hata mmoja kati ya walioshiriki amebainisha kwa ufasaha je,twahitaji katiba mpya au tuweke viraka katika hii iliyopo sasa ya mwaka 1977 ambayo imepitia ammendments kibao??

pili,richa ya kutoa kasoro chache katika hii iliyopo hawakuweza kubainsha mwarobaini wa kasoro hizo..na tatu,bado watu wengi na hasa wanasiasa hata wastaafu wa siasa wanatumia mijadala na mada za kitaifa kama hizi kutafuta public notification na kutafuta fursa za kufikia malengo yao...

na mwisho maslahi binafsi yamewekwa mbele kwa mfano baadhi yao wanaingiza masuala ya richmond,epa,iptl na masuala ya jeshi la polisi na mihimili mitatu ya dola kana kwamba mwanakijiji wa huko matombo anayajua hayo....na pendekezo langu badala ya kuanza kujadili sijui watu wa kuwateua kuchakachua katiba wakiwemo wataalamu,bora twende vijijni na ikiwezekana hata shule za msingi,sehemu za kuabudia,masokoni na kila sehemu tuhakikishe kila mtanzania anaifahamu kwa kina katiba ya SASA....NAWASILISHA
Maumivu ya kichwa huanza polepole...!
 
naomba tumsamehe, nahisi amejutia post yake, lakini pia inawezekana amefanya hivyo kutia wengine hasira! Ni vizuri kuepuka kuchangia posts zinazokinaisha! Tuzipime! Tuzitambue! Tuzichunie!
 
Back
Top Bottom