Makala ya wapo radio; utata nchini Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala ya wapo radio; utata nchini Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANALUGALI, Jan 23, 2011.

 1. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikiliza Wapo Radio, wanazungumzia utata katika nchi sikilizeni sasa
   
 2. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UVCCM wanawakemea viongozi wa chama chao kwa ubinafsi wa viongozi wao na mienendo yao ya ubinafsi, wanawalaani wiongozi wote akiwemo waziri mkuu
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kipindi kicho kinakumbushia mengi, muhimu kukisiliza
   
 4. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UVCCM unawalaani Mwakyembe na Sitta, wanataka serikali iwe na msemaji mmoja pia wanaitaka serikali iwataje wamiliki halali wa richmond ili wao ndio walipe fidia
   
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hoja si Dowans walipwe au wasilipwe, UVCCM wanataka ukweli usemwe
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima mdee yuko hewani
   
 7. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima mdee anawaponda vijana wa CCm, kwa kubadili mwelekeo ingawa anakubaliana na hoja yao na msimamo wao wa sasa wa kutaka Dowans isilipwe
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima anamchana chana ngeleja kwa kugeuka msemaji wa Dowans! anashangaa Ngeleja ambaye ni mshitakiwa anawatetea Dowans ambao ni washitaki. hajui inakuwaje dowans wasijitokeze na kujitetea na kudai malipo hayo na badala yake ccm ndo inatetea
   
 9. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kafulilia yuko hewani
   
 10. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kafulila anawashauri wale vijana wa UVCCM wajitoe CCM wajiunge upinzani ili wapinge malipo ya Dowans kwa pamoja. anasema CCm haibadiliki, hata Nyerere alijitahidi kuibadili lakini alishiundwa na alikufa akilalamika na kusikitikia chama
   
 11. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shigela anatoa angalizo
   
 12. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dowans atusaidie kujua alinunua kwa nani maana bunge liliisha sema Richmond hawapi
   
 13. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngeleja yuko hewani akisisitiza malipo kwa Dowans na kuwataja wamiliki wa dowans
   
 14. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ametaja mmiliki kutoka india wasikilizaji wake wamecheka sana
   
 15. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatahadhalisha kwamaba malipo yasipofanyika kutakuwepo na matatizo makubwa ikiwemo fidia
   
 16. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sauti ya Mwakyembe tarehe 6.2.2008 akisema kuwa waziri mkuu wa wakati huo anasemekana kuwa alihusika kwenye suala la richmond
   
 17. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anawasuta TAKUKURU kwa kutetea Richmond
   
 18. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  unasema wako hewani do you mean wanachangia kwa simu au wako studio, maana namwona kafulila yuko star tv na hiza tambwe. endelea kutujuza, wengine tupo mikoani, hiyo wapo radio haisikiki
   
 19. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamati imeshauri uongozi wa TAKUKURU ubadilishwe haraka kwa kuwa imegeuka kuwa taasisis ya kupamba rushwa na si kupambana na rushwa tena
   
 20. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  tupeni zaidi
   
Loading...