Inasemekana kwamba wajumbe wengi wa NEC ya sasa wanahongeka kirahisi kiasi kwamba mzee wa Kaya ameamua kuwatema 'wahongaji' hodari; na hapohapo ikapendekezwa kwamba wajumbe wa NEC sasa watatoka...
Napenda kumtahadharisha mzee wangu sitta kuwa ccm hawamtaki ni bora akijiondoa mapema kwa heshima kabla fedhea haijamkuta
hii inathibitishwa na kutochaguliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu na wajumbe...
chama cha demokrasia na maendeleo siku ya jumamosi kitawasha moto maeneo mbalimbali kupinga mswada mbovu ulioletwa serekiali juu ya uundaji wa katiba nikwaa maeneo ya udom jana maeneo coed...
Nimekuwa nikisikia waheshimiwa wabunge wametoa mali ama fedha zao binafsi kwa ajili ya kusaidia huduma za jamii.Hili hunishangaza sana.Naomba kuuliza wakuu katika JF.Je hii si aina ya rushwa?. Kwa...
Kwa nini kila analofanya linaonekana baya machoni mwa watanzania
Nyerere alimwambia kuwa nchi haiwezi kuongozwa na bepari kama yeye, kwani kuwa tajiri ni kosa?
Kikwete akamwambia asante kwa msaada...
Napenda kunukuu yaliyowahi kusemwa na aliyekuwa Waziri Mkuu JMT hayati Sokoine kwamba;
1. TUMERUHUSU walanguzi na Wahujumu uchumi kuongoza nchi
2. Walanguzi na Wahujumu uchumi ni maadui wa taifa...
Mrithi wa Makamba aingia na moto
Katibu Mkuu huyo ambaye ana kibarua kigumu cha kusafisha chama na kukirejesha katika misingi ya waasisi wake tangu enzi TANU na CCM ya mwaka 1977, alisema...
Na Heri Shaaban
JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan ameibua udhaifu mwingine kwenye katiba ya sasa katika kipengele cha Rais wa Zanzibar kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri...
Jamani watz wenzangu nyerere aliwahi kusema bila ccm mdhubuti nchi yetu itayumba.sasa kwa vile alikuwa anaongea wakati wa chama kimoja ingekuwa sasa angesema bila chama makini nchi yetu...
2008-04-12
Na John Ngunge, Dodoma
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa jana bungeni, imependekeza Wabunge waondolewe kwenye nafasi za ujumbe wa bodi za...
Hi
Je kuna yeyote anayejua jinsi ya kuchangia maoni ya katiba mpya? navyokumbuka ni kwamba kuna email iliyotangazwa tht kupitia hiyo mwananchi anaweza kutoa maoni yake; does anyone rem this...
Chademas protest over new laws Bill Tuesday, 12 April 2011 21:46
By Frank Kimboy
The Citizen reporter
Dar es Salaam. The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) will hold demonstrations...
Wana JF,
Ni kwa mara ya 3 sasa nashindwa kuelewa na kupata jibu kamili, Jaji Mkuu wa Tanzania Kila aendako namwona pia Lawrence Masha sasa je ni Mwambata wake au ukisha ingia kwa system basi...
Jk ameingia madarakani 2010 kwa kuiba kura na kuharibu taratibu zote za uchaguzi. Kinachoendelea sasa ni ukweli kwamba hawawezi tena kuiba kwa kiwango walichoiba 2010, kwani kila uchaguzi...
katika kipindi hiki cha karibuni, tumeshuhudia mambo mengi, likiwamo la kuzungumzia na kuchangia muswada unaotarajiwa kupelekwa bungeni hivi karibuni kwa ajili ya kuweka ramani ya kutupeleka...
Ukitafakari utagundua kuwa Serikali, CCM hawataki Katiba mpya Tuesday, 12 April 2011 20:21
Na George Maziku
Mwananchi
UKIWASIKILIZA kwa makini viongozi wa serikali na wa Chama Cha Mapinduzi...