Kulikoni jaji mkuu-Othman Chande / Lawrence Masha

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Ni kwa mara ya 3 sasa nashindwa kuelewa na kupata jibu kamili, Jaji Mkuu wa Tanzania Kila aendako namwona pia Lawrence Masha sasa je ni Mwambata wake au ukisha ingia kwa system basi hutokii???

KULIKONI JAJI MKUU Othmani Chande / LAWRANCE MASHA

 
si unajua sasa hivi haonekani kwenye tv,anajaribu kukaa na hizo figa ili naye apigwe picha,lakini ccm hatabiriki lazima kuna kitu
 
JK alivo na mazingaombwe usikute anataka kumteua masha kuwa jaji mfawidhi mahakama ya mambo ya malalamiko na uhusiano bora na jamii....si ana mamlaka ya kuunda mahakama ya hivi???
 
Ana mlinda,si unajua alikuwa waziri wa mambo ya ndani so ana act kama "polisi"
 
....Masha Amerudia kazi yake pale IMMMA & Advocates, kama umewaona pamoja basi ni mambo ya kikazi
 
JK alivo na mazingaombwe usikute anataka kumteua masha kuwa jaji mfawidhi mahakama ya mambo ya malalamiko na uhusiano bora na jamii....si ana mamlaka ya kuunda mahakama ya hivi???

Ha ha haaaaa hii kiboko!!
 
anayo me nakwambia kuwa kiongozi mpelekwaji inatatizo na atamchagua mbona kwani yule anajiuliza?ila yule atajikuta siku yupo peke ake
 
Alikuwa mambo ya ndani,ndo anaijua mipaka ya nchi ili chande asijejikuta mahakama ya malawi kama ameenda ziara za kusini. Ujue Masha ni lawyer,sometimes anamsaidia AG kukagua mafile na kupanguza shelves!
 
Raisi hana mamlaka ya kuongeza mahakama isipokuwa bunge kupitia mabadiliko ya sheria
 
Back
Top Bottom