Kweli hawa viongozi uelewa wao bado sana!!!!!

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Mrithi wa Makamba aingia na moto


Katibu Mkuu huyo ambaye ana kibarua kigumu cha kusafisha chama na kukirejesha katika misingi ya waasisi wake tangu enzi TANU na CCM ya mwaka 1977, alisema mwelekeo wa CCM pamoja na sera zake bado unakubalika kwa wananchi


Source: Mwanachi 12 April 2011

inanipa shida sana kuelewa hapo kwenye red
 
Back
Top Bottom