Majimbo yaliyotuletea magamba 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majimbo yaliyotuletea magamba 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ringo Edmund, Apr 13, 2011.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Jamani watz wenzangu nyerere aliwahi kusema bila ccm mdhubuti nchi yetu itayumba.sasa kwa vile alikuwa anaongea wakati wa chama kimoja ingekuwa sasa angesema bila chama makini nchi yetu itayumba.na kwa vile ili uwe serikalini lazima uchaguliwe na wananchi na kwa vile ccm imekiri inajitoa gamba basi ni wazi kuna wananchi wenzetu kwa kujua au kutokujua au kwa njaa zao wammetuchagulia magamba yaliyoiumiza nchi yetu.sasa naomba tuorodheshe hayo majimbo ili mwaka 2015 watuletee watu makini.
  Naanza mtaendeleza.
  1.bariadi mashariki
  2.igunga
  3.musoma vijijini
  4bunda
  5.gairo
  6.monduli
  7.........
  8............
  9..........
  Nawakilisha wakuu
   
 2. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mengine ni;
  7. Segerea
  8. UWT (Sophia Simba)
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jingine ni:

  9. KIGAMBONI
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  11. Na kule kwa Makamba
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  12. NEC
  13 Usalama wa Taifa
  14 Ukanda wa Pwani

  Note: 12,13,14 yalimsimika JK ambaye naye ni GAMBA GUMU
   
 6. O

  Ome Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  jingine ni kitunda,
   
 7. D

  Dotori JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Born Town nina shauku ya kujua kwa nini Kigamboni ipo kwenye orodha hii maana ninaona Mbunge aliyopo ni kijana makini sana
   
 8. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Jimbo kuu - IKULU
   
 9. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia kigoma Mjini
   
 10. m

  msambaru JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kwa mkulo na amosi makala mazeee.
   
Loading...