Bungeni Live: Waziri Mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni Live: Waziri Mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 14, 2011.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Leo siioni TBC live ya Bungeni, wenye access na Star TV tuambiane kinachojiri, na kibidi mtupatie update ya maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, na ni utaratibu, swali la kwanza, hutoka kwa kiongozi wa upinzani bungeni, Mhe. Freeman Mbowe.

  Ikumbuke hatma ya muswada katiba mpya bado ni tete, huku sintofahamu ikiendelea baada ya serikali kujipanga kuunyofoa kinyemela

  =============
  UPDATE:

  Soma maswali na majibu yake kwenye hansard iliyoambatanishwa hapa (haijafanyiwa editing vema)
   

  Attached Files:

 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa Star TV wako hewani, mwenye access naomba atu -updade kinachoendelea, angalau kwa maswali ya papo kwa papo tuu!.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pasco, thanks for always keeping us posted kwenye masuala ya Bunge... kwakuwa wengi tuko makazini (au nje ya nchi), na kuweza access bunge ni ngumu... tunaomba kama utakubali, uwe unatupa dondoo za yanayojiri

  Nafahamu kwamba unaweza na nita-appreciate sana msaada huu kwa faida ya wanaoipenda Tanzania including mimi na wewe
  :help:
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Wameingia mitini ili tusijue kinachoendelea bungeni. Kwa mtindo huu, afadhali tubaki na vyombo vya habari vya watu binafsi ili tuokoe kodi zetu.
   
 5. A

  Anyambilile Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii hali imeanza toka jana jioni na huku ni kutunyima wananchi habari mhimu hasa za bunge
   
 6. K

  KWELIMT Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aysee nimetegeshea radio yangu hapa kazini hadi nimerekebisha saa kumbe hawako hewani!duuh......................tunarudi enzi za TANU sasa!

  CJUI TZ 2NAKWENDA WAPI?................
   
 7. E

  Egyptian Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna maswali na majibu kutoka wizara mbalimbali.Nimechelewa kufungua startv nikingoja tbc1 hadi nususaa imepita,nilidhani labda leo hakuna kikao!
   
 8. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashangaa sana kuona asubuhi hiiTBC hawaoneshi Bunge leo, maana nashindwa kabisa kuelewa TBC kama Luninga ya taifa ni kitu gani muhimu wanachopaswa kuonesha kama si bunge jamani? na hii sio mara moja, majadiliano ya katiba hawayaoneshi, si Kongamano la UDASA wala Public Hearing ya Mswada!

  Nini kazi ya Television ya taifa jamani au kuna hitilafu? Tuambiane!
   
 9. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Bunge linaendesha kipindi cha maswali kwa waziri mkuu,ubabe wa spika dhidi ya wabunge wa upinzani umeendelea ni kama vile CCM wamejipanga rasmi kuzuia hoja muhimu za upinzani.
  *wakati huo huo TBC nayo kwa maksudi inaonyesha kipindi cha Russia badala ya bunge live ili wananchi waone waziri mkuu akijibu mambo muhimu
  *SITTA anamuumbua mbunge mwenye boti aeleze ukweli nae anakiri.(personal interest)
  *JE TUTAFIKA??
   
 10. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wameagizwa na CCM wasioonyeshe mambo yanayowashushua
   
 11. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Serikali ya JK inaogopa watu wasipate habari kwani wanaweza kumwondoa kabla ya 2015, ila zikitokea tafrija za CCM wao ni wa kwanza kabisa kupeleka mikamera yao.
   
 12. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanaogopa kilichomkuta Mkurugenzi aliyepita! hahahah!
   
 13. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani tunawezaje kujua kwamba TBC wanatengewa bajeti kiasi gani kwa mwaka na wanatumiaje. Itatuwezesha kujenga hoja kwamba wasitengewe kutumia pesa zetu, watafute zao kutokana na matangazo kisha wawe na uhuru wa kutunyima habari muhimu kama wanavyofanya

  This is not only too much but very stupid. Nanni anawaambia kwamba priority ya wananchi ni vipindi vilivyorekodiwa vya kilimo kwanza na siyo mijadala ya Bunge?
   
 14. L

  Loloo JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanaweza kuwazzuia watanzania wasione lakini hawataweza kuwazuia kusikia na kufikiri
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka kumbe na wewe umeona imeniuma saaana tena sana wabunge wa upinzani wananyimwa haki zao halafu mibunge dhaifu ya ccm inamshangikia spika. kwa kweli nimepandwa na hasira ya ajabu na kusababisha kuwaza vitu vya ajabu ajabu kama assasination. nna hasira bd ngoja temper i cool ntarudi tena
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Siyo ubabe bali ni "Inferiority Complex" SPIKA Makinda ni debe tupu! Kwahiyo amekaa katika hali ya kujilinda watu wasifahamu udhaifu wake...
   
 17. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamani hebu tuambieni kinachojiri huko...........mawazo yenu mazuri lakini mnatuacha njia panda.
   
 18. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Leo ni KIPINDI CHA MASWALI YA PAPO KWA PAPO KWA WAZIRI MKUU.na kama kawaida ccm hawataki tbc waonyeshe kwani anaweza adhirika,nao wanajua TBC ina coverage kubwa nchini na itaweza KUCHUBUA GAMBA LAO.huu ni mkakati maalumu.
  *Spika ameendeleza ubabe dhidi ya wapinzani hususan cdm.
  *SITTA kwa mara nyingine ameonyesha ukomavu wake kwa kumuumbua mbunge mwenye personal interest.
   
 19. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Niliishasema, hawa watu hawawezi kukubali kuumbuliwa kila siku kupitia live za TV. Kuna siku wataamka na kwa wingi wa kura zao, na UJINGA wao, watapitisha azimio la kuzuia vipindi vya Bunge kuwa Live kwenye TV! Mark my Words.
   
 20. e

  emma 26 Senior Member

  #20
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyie kama munauwezo onyesheni na nyie
   
Loading...