Mkuu wa wilaya kuchapa walimu viboko

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu nadhani mtamkumbua yule mkuu wa wilaya huko bukoba aliyewachapa walimu kwa uzembe wa kuchelewa na kutofundishwa mwaka juzi.Huyu mweshimiwa nimemkumbuka sana,anafaa sana awepo bunge kwa sasa,wabunge wa CCM wamezidi kutetea pumba pamoja na kujivua gamba hamna kilichobadilika.Huyu jamaa angekuwepo jana watu wengi wangelamba viboko,ndio hicho tunachohitaji kwa sasa.Nchi ina rasilimali nyingi sana lakini hatusongi mbele.
 
Naam, mdau anaitwa Albert Mnali ni kweli kabisa hawa wabunge wazandiki wanahitaji bakaora... Wasiofunzwa na Chama Cha Magamba, watafunzwa na C.D.M...
 
Jana MHE HALIMA MDEE kawaumbua!eti mtu aende bunge la afrika hata kiingereza hajui?
 
Back
Top Bottom