Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu taarifa za fedha za serikali kuu kwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu taarifa za fedha za serikali kuu kwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyengo, Apr 14, 2011.

 1. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  anaglieni ripoti ya ukaguzi. Nafikiri mtaweza kufungua hapa
   

  Attached Files:

 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,550
  Likes Received: 18,220
  Trophy Points: 280
  nyengo, asante kwa hii ripoti, nilikuwepo Dodoma wakati CAG alipotoa ripoti hii, na nikaziposti humu JF ripoti zote nne, ila wana jf wa leo, sio wasoma ripoti, wanajf wa sasa, hawawezi tena mambo magumu, hii chakula ya jf sasa, wanataka watafutiwe hiyo chakula, wakobolewe, wapepetewe, wasagiwe, wapikiwe, wapakuliwe, walishwe, watafuniwe, wao ni kumeza tuu!.
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nina mwalimu wangu (mzungu) lopo lopo leo kwa mara ya pili amesema Netherlands inafunga balozi yake Tz and more donors will be pulling out. Nilisikia hasira kwa hiyo sikutaka kumuuliza in details why are they pulling out? Ila kuna mtu yeyote ana clue? Je ni statements za wanasiasa wetu za kuonyesha kutokuwa na shukurani like connecting embassies with Chadema movements? Or is it misuse of funds?
   
Loading...