Namna ya kuchangia CDM kifedha na kimawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kuchangia CDM kifedha na kimawazo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Apr 14, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF
  Napendezwa sana na utendaji wa CDM katika kumkomboa mtanzania maskini, na tanzania kwa ujumla. Ningependa sasa elimu ya uraia ya chadema iwafikie watu wote hata waliopo vijijini. Je kuna njia yeyote rahisi ya kuchangia kifedha bila kukaa kwenye foleni kwenye mabank?e.g through mobile phone. nataka nijitahidi kama ikiwezekana kuwachangia kila mwezi hadi 2015. Pia kuna mawazo mengi niliyonayo yakuweza kuwasaidia kimkakati. Je kuna namna yeyote naweza kuwasiliana nao through email?

  naombeni msaada
   
 2. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Mabadilikosasa,
  Ahsante sana kwa moyo wako na interest kwa Chadema. Kwa details za maswali yako tafadhali wasiliana nasi kwa email info@chadema.or.tz, au email yangu slaa@chadema.or.tz, au simu/fax yet ya makao makuu +255 222668866, au namba yangu ya simu na +255 783 96 75 19 au +255 754 366 995. Au wasiliana na Mkurugenzi wa Fedha tel. +255 769735 377 au +255 713953761 kwa maelezo ya kina/Nakushukuru sana.

   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  thanx Dr, hata mimi nina mpango huo wa kuisaidia chadema ktk swala la technology ya mawasiliano ya kisasa pasipo malipo yoyote. Pia mchango wa kifedha nitatoa kila inapowezekana bila kuombwa
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180


  Dr.W.P.Slaa mimi ninakosa wa kufananishwa nawe hapa TANZANIA katika viongozi wa vyama na serikali pia, wewe ni mtu wa watu, mtu wa kujichanganya, mtu unayejali matatizo ya wengine, mtu wa kujitoa.Sina uhakika kama watanzania wengi wameshaelewa kuwa wewe ni Nyerere No.2 na kama wanajua hilo basi wakuunge mkono sana sanaaaaaaaaa!!!!!!. Na kama hawajui hilo basi CDM waongeze kazi ya kukufanya ueleweke mapema kwa watanzania kabla ya 2015 maana hatuoni mgombea wa kuchukua kiti Raisi atakayejitoa uhai wake kwa jili ya wa-TZ. Kwa lugha za kigeni wewe ni VIGILANT LEADER
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tunataka TV ya Umma, sasa imetosha yaani people power TV. Sasa Dr. Hebu tuambie tufanye nini kufanikisha hili. I will play my part.:help:
   
 6. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Sanga,
  Asante sana. Taifa litajengwa tu na wenye moyo.Napenda kuwahakikishia wapenzi wetu kuwa tuko hatua za mwisho katika mabadiliko makubwa ya IT. Naamini matokeo yataanza kuonekana mapema sana, na mambo yote yakienda sawa tunategemea mpango utakuwa tayari kabla ya 15th May. Naomba ikiwezekana tuendelee kuwasiliana.


   
 7. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  may GOD bless u Dr. SLAA... Uuishi maisha marefu na mimi naona kama watanzania wamekukabidhi wewe jukumu la kuwaokoa, japokua safari hiyo inahitaji ushiriki wa kila mwananchi, ila wewe ndio kiongozi, wananchi hawawezi kujikomboa wenyewe bila kua na kiongozi,,, pliiz doctor, kamwe usituache, tunakutegemea sana, na tutakussuport kwa namna yoyote ile kihali na mali. GOD bless CHADEMA
   
 8. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  DR. Slaa. I wouldn't like to die till I see u taking the control of the gvt...wewe pamoja na makamanda wenye uchungu na nchi hii ndo mnaweza kunikomeshea madalali wa rasilmali za taifa hili....! DR, Tanzanians love u and they need you...!
   
 9. k

  kakini Senior Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr. We have seen the thread and other contact

  We are ready to make this as our kazi on daily basis for the future of our chama.
  Sory I have called you in the mid of the meeting, but promise to work on this issue
   
 10. K

  Kalila JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli dr ni muda wa kwenda na technology pia tumechoka na tbc na taasisi zingine zinazobana upinzani tv ya chama ni muhimu sana pia muandae midaharo ya mara kwa mara kwa vijana sisi kama wanyonge tunawategemea sana cdm ni chama kikubwa sasa makao makuu yabadilike pawe na hadhi ikiwezekana hata harambee tutarespond tu ccm inakufa cdm ndo inakuwa viva pipooooz power
   
 11. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Slaa, Tunahitaji TV ya CDM ili iwe inatuhabarisha mambo yote yanayofanywa na CDM hizi zingine naona zinatuyeysussha tu. CDM mnafikiri nini juu ya hilo?
   
 12. N

  Neema J Makene Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peples power Dr, pamoja sana, mapambano hayaendeshwi kwa maneno bali kwa vitendo kama vile, kuchangia pesa, kushiriki makongamano na maandamano, tuko nyuma yako Dr.
   
 13. p

  politiki JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwako DR.Slaa
  ningependa kupitisha mawazo yang kuhusiana na swala zima la katiba
  kuna njia rahisi na cheap ya kuwaelemisha wananchi juu ya ubaya na ubovu wa katiba iliyo sasa kwani bahadhi ya watanzania haifawahamu vizuri, na cha kufanya ni kuandaa tapes, dvd na cds zitakazo andaliwa na mzungumzaji mzuri kama wewe dokta na atumie lugha nyepesi sana halafu hizo kanda zitolewe bure au ziuzwe kwa ajili ya kuchangia kwa bei rahisi ambayo itawawezesha watu wengi kuzipata. ili mheshimiwa linawezwa kufanya hata kesho ili mikutano ya katiba itakapoanza basi itakuwa rahisi kuzitawanya kwa wananchi. umma wetu unahitaji sana kuelimishwa kuhusu katiba na nafasi ndio hii.
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Thank you Dr.w.slaa niko tayari kuchangia hili swala la tv ya chadema.im tired of Tbc ,itv.....tunaomba utaratibu wa kueleweka dr wetu mpendwa.
   
 15. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Napenda sana jinsi cdm wanavyo act, viongozi wa ngazi za wanajitokeza humu kutoa ufafanuzi wa mambo ya kitaifa na kichama kama alivyofanya Dr. Slaa huu ni mfano mzuri na ningependa Mkama gamba jipya auige..

  People's power daima
   
Loading...