Nini, Wapi na Nani Pius Msekwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini, Wapi na Nani Pius Msekwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyamahodzo, Apr 14, 2011.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwasasa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara.
  Katika nafasi hiyo hana ujasiri kama Mzee John Samweli Malecela. Amekuwa mtu wa kulalama.

  Amekuwa Spika wa Bunge la JMT kati ya Chief Adam Sapi Mkwawa na Samwel Sitta. Sitta alimbwaga ktk kinyang'anyiro na kum-beat ktk performance.

  Malezi ya mtu tangu utoto yanaweza mtengeneza atakavyokuwa mtumzima. Amelelewa "kando" ya jamii ya kihindi. Anatajwa kujua kihindi vizuri.

  Katika madaraka ya juu anaposhindwa kutambua kiini cha matatizo na kuingia kuwachonganisha raia na JF just for the sake of CCM, kunazusha shaka kubwa juu ya uwezo wake wa kuchambua mambo.

  Big tanks let us share about this old man from his youth to date. And what he has behind the curtains
   
 2. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Msekwa Pius?
  Alikuwa mbunge wa ktk jimbo moja huko UK..
  Mimi namtazamo tofauti kabisa na wana ccm wanaoona JF ni gamba lao jipya, ukweli ni kwamba wanataka iwe gamba jipya kwa kuitangaza zaidi kwa wananchi kwani tangu juzi naulizwa na watu wasomi tu wazuri kuwa jf ni nini, yaani hawajui sembuse na mwananchi wa kijijini. huu si uzushi jamani!! Waacheni waipaishe jf badae ndo watakuja kugundua kuwa kumbe wanaijenga
   
 3. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,173
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Kwa uhalisi yeye pia ni sehemu ya makundi ndani ya CCM pia.
  *Ana ugomvi na mama mogella,kiasi hata msekwa akauza mali zake mza na ukrw, na sasa ni mkazi wa DSM.
  *Akiwa spika aliwahi mtamkia mogella CCM,aache siasa za kike.
  *Akiwa bado spika come-pain(kampeni) 2005 kumnadi kikwete sengerema,aliletwa na vx la Gupta(muasia tajiri wa mza) kwenye mkutano.badala ya gari la ccm.mbele ya kikwete.
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red, wachunguze kwasasa wanapenda kusoma nini. Kama na wasomi wa UKWELI lazima wanaijua ila walikuwa wanakupima. Tembelea ofisi nyingi au mashirika ambazo watu wake wanatabia ya kupenda kusoma, JF si msamiati kwao. Ila tunatofautia upenzi wa majukwaa.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,811
  Trophy Points: 280
  hawa watakuwa watu wa jukwaa la mmu! ahahahhaha !!
   
 6. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nashauri tumsamehe bure Mzee Msekwa kwa kuwa siyo kosa lake. Chadema ndiyo chama cha kulaumiwa kwa kuwa kinawapeleka mbio wazee waliozeeka kiasi cha kushindwa kufikiri vizuri. Uwezo wa kufikiri ndani ya CCM umepotea na sasa wanafanya mikumbo tu. Watu waliopora mabilioni ya nchi utawaadhibu kwa kuwafukuza Kamati Kuu halafu utarajie kuonekana umetakasika mbele ya wananchi walioamka kweli? Waandamanaji wangapi kule kanda ya ziwa wanajua Rostam alikuwa mjumbe wa kamati kuu? Wangapi wataona tofauti kati ya Chenge aliyekuwa katika kamati na huyu aliyetoka? JK, Msekwa wote vituko tupu.
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwenye red, unajua tatizo walikuwa nalo ni uchu wa madaraka wakasahau watu wanabadilika kimitazamo na kifikra pia kuna kizazi kisichojua ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI. Wenzao wenye akili walipoona umri unawatupa wakaachia ngazi.
  Si unakumbuka alama zilionyesha kuwa hatakiwi kwenye uspika wa Bunge la 2005-2010, kwa kiburi akatia jina lake pamoja na kushauriwa asifanye hivyo. Sasa ile chali kama ya mende aliyopewa na Sitta utasema walileta CHADEMA?
  Alipokuwa madarakani alisahau kuna uzee, hakujiandaa. Matokeo yake akawachukia wana-ukerewe, mbunge wao mpaka mazingira ya visiwa vile.

  Kwenye blue, wapo wana-CCM wengi waliovichwa, tatizo makundi yamewaweka kando. Na hata wakitoa ushauri wanaambiwa wehu, wanakisirani ama wanawivu. Matokeo mwenye akili hawezi kuwa pamoja na hawa walafi akajipunguzia heshima yake.
  Fikiria, kumfanya Tambwe Hiza kuwa mtu wa propaganda, Je! Inamaana CCM wameishiwa tanks zao zote zilizozalishwa Kivukoni?

  Tumjadili akiwa hai huyu mzee. Tukimjadili wakati anaitwa marehemu watatuambia si wastaarabu, nk kwasababu tunamchambua alivyokuwa hai.

  TWENDE KAZI!!!
   
Loading...