Wahalifu wapewa tena mda ccm

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
kikwete ameyapa mafisadi siku 90 wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama, hii sioni kama ni sahihi kuwapa mda ilitakiwa waondolewe kwa aibu ili wajutie matendo yao mabaya walio tendea Wa Tz
 
Ahsante Mheshimiwa Kikwete kama wao hawakuondoka basi bora uondoke wewe ,ili kuepuka shari !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom