Salamu zangu kwa kikwete

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
217676_208039162547718_100000249084916_777146_4832757_n.jpg

huyo katoka ikulu moja kwa moja jela
ni bora kutenda haki kuliko aibu kama hii
sio kwamba tanzania haita tokea, hapa itachukuwa muda lakini itatokea tu, kama wezi wa epa na futa msamaha wako kwa wezi.

Pia ni swali kwa wale mashehe wanopiga kelele kuhusu kikwete kutolewa madarakani, je sharia inasema je kuhusu wezi, na mtu anayesamehe wezi inakuwaje?
 
Binadamu wote tunazaliwa kwa njia na utaratibu ulio sawa kabisa. Lakini binadamu wengine wanapotoshwa na mali, madaraka na elimu kwa kukandamiza haki za watu wengine. Adhabu inaanzia hapa hapa dunia.
 
Binadamu wote tunazaliwa kwa njia na utaratibu ulio sawa kabisa. Lakini binadamu wengine wanapotoshwa na mali, madaraka na elimu kwa kukandamiza haki za watu wengine. Adhabu inaanzia hapa hapa dunia.

watawala wengi wa afrika wanadhani wao ni wafalme na wataishi wakitawala milele,
lakini sasa watajuta maana waafrika wameamka tena kwa speed ya kutisha. katika miezi
minne tumeshuudia TUNISIA, MISRI, IVORY COAST NA SASA LIBYA, viongozi waking'olewa na nguvu ya umma
wenziru kenya hawako mbali sana na ukombozi wa utawala wa kibabe na kunyonyana na wizi, na sisi TANZANIA hali ni
tete watu wanadhani ni kitu cha kawaida lakini ni ukombozi huko mlangoni
 
marais wa afrika wasiposhituka wanatoka jasho kama Gbogiba
na stress kama mubarak
 
hii ndio dawa yao tu kuwafunga wakitoka madarakani, ndio maana wanataka kuchakachua katiba hii, ili wazidi kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, maana wanajua maovu waliyotufanyia
 
siku mafisadi wakishikwa mashati kama huyo ndipo watakoma kuiba mali za umma
 
Back
Top Bottom