Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana asubuhi tar14 april,nimefika bodi ya mikopo pale Tirdo Complex Msasani,nkapewa taarifa kuwa kuna wizi umetokea ambapo mlinzi alivamiwa na wezi na kumtaka anywe chai waliyokuja nayo,badala ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusikika kelele kubwa dhidi ya serikali pale walipozuia magari ya Ndesamburo kupeleka wagonjwa kule Semunge kwa babu, mainzi wakali walijitoma kusaka chanzo cha timbwili hilo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesoma kwa haraka haraka ripoti ya CAG ya mashirika umma. Naandaa uchambuzi yakinifu nitauleta next week. Kwa huo uharaka nimegundua kuwa NSSF imetajwa sana kwenye mapungufu mengi lakini PPF...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Chama cha magamba kinanishangaza sana badala ya kuvua gamba ili waweze kuisimamia serikali iwahudumie wananchi ipasavyo wao wanalenga kushinda uchaguzi. Huku ndio kutufanya watanzania wote ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na mwenendo wa mswaada wa kubadilisha katiba naona kuna kamchezo CCM na serikali yake wanacheza kuwaadaa watanzania kuhusu katiba mpya. Mimi naona CCM na serikali yake haina nia ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF Wengi watakuwa wanajua kuwa RA na wenzake ni vinala wa ufisadi EPA, KAGODA, RICHMOND na DOWANS MEREMETA ETC. Lakini ninachokiona ni kuwa ccm imeandaa mbinu ya kupoteza ushahidi wa hawa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau kutokana na tunachokiona ,leo serikali imejitokeza na kutuma ujumbe mkubwa ukiwahusisha mawaziri,mwanasheria mkuu wa serikali pamoia na makada waandamizi wa ccm kwenda kwenye vituo vya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imenibidi nijiulize hili swali coz alianza kwa kuivunja serikali yake baada ya kugubikwa na rushwa pamoja na ufisadi sasa amevunja secretary ya CCM aliyokua akiiongoza yeye na msema hovyo makamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli ninawafagilia sana hao wazalendo hapo juu. Tatizo sielewi kwannn wanashindwa kuchukua tahadhali na kuondoka ndani ya Magamba, Hivi hawawezi kuiga ya Makamanda wa kikenya kina Odinga,Prof...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani, Gazeti la Mtanzania la leo Ijumaa limeibuka na kichwa cha habari kwenye ukurasa wa mbele kinachoelezea ufisadi wa Bilioni 48 ulioibuliwa na Mhe. Kabwe Zitto. Kinachonishangaza ni 'tone'...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
na Happiness Katabazi MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mei 25, 26 na 27 itaanza rasmi kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Segerea uliofanyika mwaka jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Mwandishi wetu HATIMAYE Bunge la Muungano limepata wenyeviti watakaomsaidia Spika kuendesha shughuli za Bunge. Waliochaguliwa kushika nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Peramiho, Jenister...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naona CCM wamefilisika na wanataka kuanza kujibu mapigo ya Operesheni Sangara kwa kuzunguka nchi nzima kwa kigezo cha kuwatambulisha gamba jipya la nyoka lilovaliwa kwa wanachama wao na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Kiongozi UVCCM adai utawasaidia waliotemwa kuibuka *Msekwa asema kinachowaumiza ni mbio za urais 2015 SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya kile kinachoitwa ni kujivua gamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa uongozi mpya wa CCM ninaomba ninawapeni ushauri wa bure kama ifuatavyo: 1. Hakikisha MAFISADI WOTE wanatoswa na kamwe wasirudi kundini; 2. Fanya mabadiriko kwenye katiba yenu, imepitwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Si wabunge wengi hususan kutoka CCM wanatambua wajibu wao ndani ya jengo lile kwa mujibu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 ibara ya 63.- (2) Sehemu ya pili ya Bunge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislam, JUMIKI, imeandaa maandamo ya amani ya kupinga rasimu ya muswaada wa katiba ya Muungano. Maandamano hayo yanayotegemea kufanyika kesho baada ya swalah ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Imebainika kuwa Jumuiya ya Wanataaluma(Wahadhiri) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDASA) waliizidi ujanja Serikali kwa kuanza kuujadili Muswada wa Marejeo ya Katiba unaoendelea kuzua sintofahamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mikakati ya Chama cha Magamba 1.Kuimarisha ngazi za chini! 2.Kuongeza uwakilishi 3.Kuchukia hatua dhidi ya Ufisadi! Endelea....
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kitendo cha ccm kujivua magamba nakuanza kujiandaa na uchaguzi wa 2015 badala ya kujenga nchi na kupunguza makali ya ugumu wa maisha sioni kama ni sahihi?sasa hivi bei ya petrol imefika 2100tsh...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…