Hii ni sahihi kwa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni sahihi kwa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msaranga, Apr 15, 2011.

 1. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha ccm kujivua magamba nakuanza kujiandaa na uchaguzi wa 2015 badala ya kujenga nchi na kupunguza makali ya ugumu wa maisha sioni kama ni sahihi?sasa hivi bei ya petrol imefika 2100tsh ,sukari 1kg 2000,nk hapa dsm sijui huko mikoani.maswala ya kutuambia kwamba mafisadi hawatagombe 2015 hayatusaidi kwa sasa sisi tunataka tuone mabadiliko kiuchumi sio kwenye vyombo vya habari.naomba kuwasilisha
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna magamba hapo. Laiti hayo magamba yangekuwa na damu tungeliewa hilo swala la kujivua kwao. Tatizo liko kwenye damu yao na damu imeoza. The body is rotten and I can't see the way unaweza ukavua gamba uozo! This is a political gimmick.
   
Loading...