Udasa waliizidi ujanja serikali

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Imebainika kuwa Jumuiya ya Wanataaluma(Wahadhiri) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDASA) waliizidi ujanja Serikali kwa kuanza kuujadili Muswada wa Marejeo ya Katiba unaoendelea kuzua sintofahamu hapa nchini katika Konganano lililofanyika Ukumbi wa Nkrumah-UDSM bila Serikali kujua.Ukweli ni kuwa Serikali haikuwa na ajenda ya majadiliano ya Muswada huo kama yalivyo sasa kwakuwa haijawahi kufanya hivyo hata kwa Muswada mmoja tangu Uhuru.Je,wana JF mnasemaje juu ya ukweli huu?
 
bado nina wasi wasi mkubwa na hicho wanachoita kisima cha wasomi (udasa), nusu yao wanaramba miguu ya masharobalo, hwana meno makali siku hizi.
 
Back
Top Bottom