menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Imenibidi nijiulize hili swali coz alianza kwa kuivunja serikali yake baada ya kugubikwa na rushwa pamoja na ufisadi sasa amevunja secretary ya CCM aliyokua akiiongoza yeye na msema hovyo makamba lakini bado anaona haitoshi sasa anataka kuuvunja muungano na pia kuwa vunja vunja watanzania kwa misingi ya UDINI.kweli JK nivunjavunja. Michamgo tafathali.