Prof Mwandosya, Sitta, SAS, Mwakyembe, Warioba, & Co; Mnaelewa walichofanya Wakenya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Mwandosya, Sitta, SAS, Mwakyembe, Warioba, & Co; Mnaelewa walichofanya Wakenya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Apr 15, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ukweli ninawafagilia sana hao wazalendo hapo juu. Tatizo sielewi kwannn wanashindwa kuchukua tahadhali na kuondoka ndani ya Magamba,
  Hivi hawawezi kuiga ya Makamanda wa kikenya kina Odinga,Prof Nyang'nyong'o,Rutto,Kibaki nk? hivi kwann wanashindwa kujua kuwa political life ipo hata nje ya magamba?
  Wana Jf, tujitahidi kuongeza posts humu za kuwaconvince makamanda hawa kwani tunajua sasa magamba yanawatu wao humu.... inawezekana wakazinduka. na ninamtazamo kuwa si ajabu 2015 akasimamishwa mwinyi jr au nahodha...(another cry)...
  nawasilisha..
   
 2. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,068
  Likes Received: 7,539
  Trophy Points: 280
  Waondoke waende wapi?? wapambanaji hawakimbii vita kila mtu kule alipo anatakiwa apambane kwa ajili ya kuijenga na kuipata Tanzania iliyo imara na huru, wala si kuhama. Kama umetambua heshima yao wakiwa kule ni dhahiri wapo sehemu sahihi.
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Bila shaka unaifurahisha nafsi yako na mabwana zako..Kamanda kama SAS unakumbuka aliishia kurushiwa KIMBA na ******? yaan amesahaulika kama vile hakuwahi kuishi..Haya Sitta pamoja na umahiri wake wa kupiga vita ufisadi ndani ya magamba unaona kilichompata? je siyo chama cha magamba wiki hii kimejidanganya kujivua magamba kwa sababu zilezile walizomnyonga nazo Sitta? je wamemrudishia heshima yake? na hatoipata kamwe hadi anakufa..otherwise aondoke humo..Mwandosya naye anamiaka kumi ya siasa,ambayo kama ataendelea humo atapigwa kumbo na kina mwinyi jr makamba and naohodha...vijana wadogo wenyehati miliki ya nchi...na akifurukuta anatupiwa kimba...
  Kwa mpiganaji wa kweli Ndani ya Cha magamba hakufai,,kunanuka..NI UYSHAURI TU,,AMBAO UTAONA UKWELI WAKE MIAKA SI MINGI NA HATA WEWE UTASHUHUDIA KWELI HII.
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tukubhakana bha!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  They are afraid of taking a risk!
   
 6. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
   
 7. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,068
  Likes Received: 7,539
  Trophy Points: 280
  Kichwa kilichotawaliwa na matusi na pupa hakina chumba kwa ajiri ya busara..... Tatizo lako tangu umeanza kupata mabwana basi unadhani kila mtu ni wa jinsia yako tata (isiyo ya kiume wala ya kike).
  Elewa kuwa binaadam anapolibaini tatizo wajibu wake wa kwanza ni kuelewa asili ya tatizo na nguvu zake, wajibu namba mbili ni kulikabili ili kulitatua na wajibu wake wa tatu ni kuhakikisha anaondoa mianya yote inayoweza kupelekea tatizo kujirudia, lakini hakuna popote pale ambapo binaadam anatakiwa kuyakimbia matatizo, unayakimbia matatizo ili nani akutatulie?? Unadhani kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kukutatulia hayo matatizo mpaka uyakimbie, hizo ni tabia za watu wanaoendekeza kukumbatiwa, hivyo mimi ninakushauri kuwa ungali kijana unatakiwa kutumia wakati huu au ungali na nguvu ni wakati wa kujijengea uzoefu wa kuyakabili na si kuyakimbia.
  Nimkujibu hili sitajisumbua kukujibu tena, kama una macho tazama na **** una ujuzi you have to read between the lines.
  Kwani ubishi, ushabiki na utetezi wako hauna tija zaidi ya kuendelea kuiharibu akili yake na kuulifanya taifa kuingia hasara ya kupoteza rasilimali mtu.
   
 9. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kupambana ni muhimu kwani kuhamahama ni dalili za kukokasa musimamo kama Mrema. Watafanya hivyo pale tu watakapoona kwamba juhudi zao za kuiendeleza nchi hii katika chama cha magamba zimegoma kabisaa. Na haya huwa yanatokea karibia na uchaguzi, wewe subiria 2015, before election utaona kitimutimu.
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  They all seem to be occupied with conflict of identity.
   
 11. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu, unaposema tuwa-convince unataka kutuaminisha kuwa wao wenyewe hawaoni kinachoendelea.

  they are just a bunch of pretending opportunists....uthibitisho ni sentensi yako hapo juu yenye maneno "political life"!
   
 12. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Kwani Chamagamba walikuwa hawajui magamba yao kuwa ni kero? sometym kukumbushana ni muhimu..anyway waamuzi ni wao...
   
Loading...