Kulikoni Gazeti la Mtanzania Kuishambulia Serikali Kiasi Hiki!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Gazeti la Mtanzania Kuishambulia Serikali Kiasi Hiki!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Apr 15, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani,

  Gazeti la Mtanzania la leo Ijumaa limeibuka na kichwa cha habari kwenye ukurasa wa mbele kinachoelezea ufisadi wa Bilioni 48 ulioibuliwa na Mhe. Kabwe Zitto. Kinachonishangaza ni 'tone' iliyotumika! Kwa mtu anayefuatilia vyombo vya habari vya New Habari Corporation, atakubaliana nami kwamba hili ni badiliko kubwa na la ghafla. Kabla ya hapo ilikuwa ni kawaida kusoma vichwa vinavyoisifu ccm na serikali yake na wakati huo huo wapinzani wakipondwa sana. Inaonekana kuna jambo limetokea. Mimi nahisi labda ndiyo matokeo ya mabadiliko ya hivi karibuni ya ccm.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Wameshaanza kujichoma wenyewe, hapo ndio siasa ya Tanzania inavyozidi kuwa tamu!!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  na bado dooooo
   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,748
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Rostam anataka kuweka wazi kuwa fisadi wapo wengi si yeye pekee so lazima wafe wote.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  mni vita ya panzi. Wacha kunguru tuandae party
   
 6. c

  chetuntu R I P

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha waanikane tu, huu ni mwanzo tutasikia mengi baada ya kujivua gamba.
   
 7. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,303
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Ni habari njema sana hiyo!
   
 8. m

  mukwano Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ndio yameanza, unajua Mungu anazo njia nyingi za kutupigania.
  Alitumia viwete wakoma kutisha na kufukuza majeshi ya Washami waliokusanyika kuvamia Jerusalemu.
  Mungu hashindwi kutumia majeshi ya Wafiristi kuipigania Tanzania!!!!!!!
   
 9. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  yes NDIO DALILI ZA "WANAMTANDAO" HALISI,WEMBE WALIOUTUMIA KUWANYOLEA WENZAO SASA WANAUGEUZA UWANYOWE WENYEWE.
  *ROSTAM AMEANZA KUONYESHA KUWA ALIKUWA NA MSAADA KIASI GANI KWENYE MEDIA,AKI-COVER STORY ZA KWELI NA KUWEKA ZA UONGO.
  *SASA AMEAMUA KUWEKA WAZI UKWELI KWA KUFUATA HAKI YA UANDISHI.
   
 10. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  New Habari nayo INAJIVUA MAGAMBA.
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Namshauri RA asiiuze New Habari ili baada ya gamba JK kuondoka ikulu 2015 yaanze kutuwekea A-Z za kashfa zake.
  RA ni bepari kwa sasa anamwogopa JK rais ila JK atakapovunjwa meno kwa kuondoka ikulu basi tutajionea siri zake hadharani thru New habari
   
 12. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 418
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  well said! Kitakachofanyika sasa ni "kama kuwa mbaya na iwe mbaya",tutaskia mengi
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,002
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Tuliyatarajia haya, Chama ambacho kila mtu ni fisadi unategema nini? Kwa maoni yangu CCM na Kikwete mwenyewe ndio gamba lenyewe
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,833
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hilo gazeti malaya. halifai hata kuitwa Mtanzania.
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 1,952
  Trophy Points: 280
  Kweli mungu anafanya mambo yake kwa wakati wake................mungu kaonyesha njia
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,538
  Likes Received: 492
  Trophy Points: 180
  Magamba hayo.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,533
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Mkuu suala kubwa ni biashara wameonakila wakiitetea serikali magazeti hayaendi na wameamua kuwa wakweli!
   
 18. Mlume

  Mlume Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa gazeti la Mtanzania linaonyesha kujivua gamba! Hata gazeti la juzi Jumatano katika habari yake ya mbele yenye kichwa cha habari "NAPE NA CHILIGATI WAMCHIMBA JK" ilionyesha dhahiri mashambulizi dhiki ya JK! Nadhani mambo sasa yanaelekea kuiva!
   
 19. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  JK Kamwaga mboga Rostam anamwaga ugali.... Sasa watalala njaa!
   
 20. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hapo ndo ukweli utakapojulikana kwamba CCM yenyewe ni gamba haliwezi kujivua. Yenyewe inatatakiwa kuvuliwa na watanzania.
   
Loading...