Ufisadi mwingine heslb! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mwingine heslb!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gsana, Apr 15, 2011.

 1. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Jana asubuhi tar14 april,nimefika bodi ya mikopo pale Tirdo Complex Msasani,nkapewa taarifa kuwa kuna wizi umetokea ambapo mlinzi alivamiwa na wezi na kumtaka anywe chai waliyokuja nayo,badala ya kugoma kapigwa na kuumizwa mpaka yuko hoi hospitalini,na wezi hao wameingia katika droo muhimu na kuondoka na document za kutosha. Mi mtazamo wangu waonesha kuwa, hawa ni wahuni wametumwa kupoteza ushaidi kama ilivokuwa mara kwa mara jengo la kitega uchumi kuibuka moto na kuunguza document muhimu bila kuleta madhara yoyote kwa watumia ofisi. Huu ni ufisadi na tusipokemea hapo tutakuta Fedha ya Mikopo ya wanavyuo imehujumiwa na hapa ni kupoteza ushaidi. Kwa hali ya kutatanisha kama hii,serikali ichukue mambo kwa umakini na kuwabana watendaji wake. Ikumbukwe HESLB hawatunzi fedha taslimu iweje wezi wavamie na kuambuli documents? Hii haikubaliki!!!
   
 2. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kwanini nyaraka za muhimu zikae juu juu kiasi cha mwizi kuingia na kubeba?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  da imetoka saa ngapi?
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahaha.. mpaka saa hivi TZ ofisi za serikali zinashindwa kutunza info muhimu katika kompyuta bado wanaweka mafail kwenye makabati . kuna kipindi nilikuja tz mapumziko sasa wakati nataka nirudi masomoni nilienda ofisi fulani "ka hospitali" kile cha kuchoma sindano kwa ajili ya wasafiri jamaa amekaa kwenye deski hana hata kajilaptop, akaniuliza jina na mwaka mara ya mwsho kufika pale akaingia stoo kupekuwa mafaili..... . anyways tutafika tu..
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nyaraka za maana zinawekwa tu kwenye droaa au mezani? kazi tunayo bado ya kuikomboa Tanganyika yetu!
   
 6. k

  kakini Senior Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr slaa alisema kuwapa CCM tena uongozi wa nchi ni janga kuu la taifa ndo kama hivyo jamani yapo mengi yanakuja
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mabingwa wa kuandika cheki hewa, Duhh:tape:
   
Loading...